Weee chezeya watanzania walikua wapole kama pumbu za Juma lokole, watu walikua wanatangaza biashara za majeneza na magongo na wheel chair wee nani anataka majanga, yan nilicheka mtu kabisa anatangaza majeneza na magongo na wheel chair yan watanzania wamepinda