I Know about that...but jinsi ambazo wana'incorporate'their own style (Bongolicious) and trends in African prints kama Batik&Kitenge(Kiki's Fashion)is creativity for my definition and Kisa Zimba is included in Swahili Fashion Week Now and Then kama Designer.....
Kiki yupo juu na bei zake ni nzuri sana.tsh bana mange ni mambo ya dollar halafu bado sana.Ila anajitahidi
kiki ukiwa na elf 50 anakushonea bonge la kitenge! Very classic!Kweli dear...
Km hatuwezi kundika kiingereza sahihi ni vyema kutumia kiswahili tunachokimudu. Ni hayo tu.
Kiki juu juu zaidi,mange hajui kuvaa kwa hiyo na ku design pia ni zero,nguo zake zimekaa kidada poa dada poa sio za classic na sio za heshima