Mange Kimambi Vs Kisa Zimba(KiKi)

Mange Kimambi Vs Kisa Zimba(KiKi)

Hakuna zaidi ya kuhustle na kuongeza bidii na juhudi katika maisha...........raha sana unapotoa hela yako ya halali kununua bajaj kwa jina lako..........kuliko kuletewa Q7 usiyojua hata ni sh ngapi..........huyo aliyekuletea pesa haina picha yake.........tafuta yako..........gadem mazafantazzzz.......wanaopenda bwerereeee...........

Ila kwa kweli jijini Dar kuna hitaji maombi..........tena ya mkesha..........
huku Yaeda kila mtu anauza vitunguu vyake na mchele wa magugu........
juzi Katarina kanunua passo.........Perpetua kasema hakubali........January na yeye anaagiza Duet.......X5 na 6 mnazijua nyie huko mjini hakyamama..........

True. Hawa mabinti wa Dar wengi wao kama wamerogwa, akili fupi sana. Unakuta mtu na diploma au degree yake anatumia akili kubwa sana ili ahongwe kuliko kufanya kazi.

Naishi Dar lakini nimefika mikoa yote huku Tanganyika, nawapa sana bigup wasichana wa Arusha, Kilimanjaro, Mwanza na hata Mbeya. Wana_hustle sana na kwa wengi wao hukuti hizi showoff za kijinga, ila Dar (hasa hawa wasomi wetu) ambao role model wao ni akina Wema nk na group zao hovyo kabisa.
 
Huku mjini hizo zinaitwa bebiwoka

Shurt x5 vogue bmw.....

Ila source za kueleweka za kipato hakuna...... mtu anaishi zaidi ya kipato...

Ila kwa kweli jijini Dar kuna hitaji maombi..........tena ya mkesha..........
huku Yaeda kila mtu anauza vitunguu vyake na mchele wa magugu........
juzi Katarina kanunua passo.........Perpetua kasema hakubali........January na yeye anaagiza Duet.......X5 na 6 mnazijua nyie huko mjini hakyamama..........
 
Dar kuhongwa ndio habari ya mjini.... mwanaume akiwanazo anawapanga kama mafungu ya nyanya

Mwisho wa siku wanaishia kurekodiwa na kina rummy wauza dona

Kutaka kwenda paris kutumia.....

Ila kwa kiki nasikia gari alioewa kama kuombwa msamaha baada ya kumfumania mumewe na miss tz(sijui yupi..huu umbea kutoka uturn))))

Na keshazoea maisha ya juu kwa fedha za utapeli

True. Hawa mabinti wa Dar wengi wao kama wamerogwa, akili fupi sana. Unakuta mtu na diploma au degree yake anatumia akili kubwa sana ili ahongwe kuliko kufanya kazi.

Naishi Dar lakini nimefika mikoa yote huku Tanganyika, nawapa sana bigup wasichana wa Arusha, Kilimanjaro, Mwanza na hata Mbeya. Wana_hustle sana na kwa wengi wao hukuti hizi showoff za kijinga, ila Dar (hasa hawa wasomi wetu) ambao role model wao ni akina Wema nk na group zao hovyo kabisa.
 
Dar kuhongwa ndio habari ya mjini.... mwanaume akiwanazo anawapanga kama mafungu ya nyanya

Mwisho wa siku wanaishia kurekodiwa na kina rummy wauza dona

Kutaka kwenda paris kutumia.....

Ila kwa kiki nasikia gari alioewa kama kuombwa msamaha baada ya kumfumania mumewe na miss tz(sijui yupi..huu umbea kutoka uturn))))

Na keshazoea maisha ya juu kwa fedha za utapeli

Huyo Rum nae m'bayaaaaa........nini kumchezesha mtoto wa watu Yamoto.....yamoto eeeeeh....
 
Na mie nashangaa hili neno designer na clothing line/label wanalichukuliaje!
Hakuna designer hata mmoja kati yao labda neno designer liwe limetoholewa upya.

Sifa kuu ya Mange ni domo chafu kama mfuniko wa choo.

Unajua clothing line? Mange ana clothing line ama anaingia mtandaoni ananunua anakuja kuwagonga?
hakuna designer hapo labda owners wa izo clothing line tuu....... !

kuhusu nana zaid well nampenda muke ya mzungu.
 
Dar kuhongwa ndio habari ya mjini.... mwanaume akiwanazo anawapanga kama mafungu ya nyanya

Mwisho wa siku wanaishia kurekodiwa na kina rummy wauza dona

Kutaka kwenda paris kutumia.....

Ila kwa kiki nasikia gari alioewa kama kuombwa msamaha baada ya kumfumania mumewe na miss tz(sijui yupi..huu umbea kutoka uturn))))

Na keshazoea maisha ya juu kwa fedha za utapeli

Alimfumania na briggete yule miss tanzania kabla ya happy, ndo mwanamke wake mkubwa
 
Na mie nashangaa hili neno designer na clothing line/label wanalichukuliaje!

Unajua clothing line? Mange ana clothing line ama anaingia mtandaoni ananunua anakuja kuwagonga?

Bora dada yangu umenisaidia, huyo Mange ni Miss ushuzi Mavi designer tu.
 
Kina sheria ngowi wanakata vitambaa wanashona. Hao wanaweza kusema lolote. Khadija mwanamboka nae sijui anazubaaga wapi saa zingine.

Anavyosema Preta aisee, kuna mdada amevunja ndoa kwa kuweka role model hao wa mtandaoni. She didnt want to work, anaweka candle lute dinner anangoja mume arudi na flowers. Walipoachana ikabidi atoe digirii uvunguni. Walau yuko busy anasaka mume mzungu

Last edited by a moderator:
Khadija Mwanamboka kushona kumemshinda anauza kalimati na bites (kupitia vvk)

Kiki (siku hizi aitwa kima???) Anatengeneza vizuri nguo ingawa kifuani zinamshinda...anaharibu shepu za vifua vya wenzie
 
Last edited by a moderator:
Hahaha kwa hiyo ana vitafunwa line?

Usimlaumu kwa kuharibu shepu ya kifua, wateja wana mambo wewe. Sasa kama wanataka kubanwa, si lazma manyonyo yagawanyike mara kadhaa?

anaitwa kima kwa sababu ya kisa + malick.......kama ilivyokuwa Kiki.......kisa + kinje.......
tutajasutwa ujue.........

halafu nipe link ya vitafunwa........nataka nichome bajia za kunde.........
 
Yap ana line anauza bites... ukiwa na shughuli usisite mpa tenda

Hahaha kwa hiyo ana vitafunwa line?

Usimlaumu kwa kuharibu shepu ya kifua, wateja wana mambo wewe. Sasa kama wanataka kubanwa, si lazma manyonyo yagawanyike mara kadhaa?
Hahahah nini kugawanywa sehemu kadhaa kuna mmoja ziwa lilitawanywa likavutwa karibia kiunoni...
 
anaitwa kima kwa sababu ya kisa + malick.......kama ilivyokuwa Kiki.......kisa + kinje.......
tutajasutwa ujue.........

halafu nipe link ya vitafunwa........nataka nichome bajia za kunde.........

Hahahah

Wakija kutusuta tukimbieee
 
Hakuna zaidi ya kuhustle na kuongeza bidii na juhudi katika maisha...........raha sana unapotoa hela yako ya halali kununua bajaj kwa jina lako..........kuliko kuletewa Q7 usiyojua hata ni sh ngapi..........huyo aliyekuletea pesa haina picha yake.........tafuta yako..........gadem mazafantazzzz.......wanaopenda bwerereeee...........

Hahahaha, umenifurahisha.... naomba unikaribishe yaeda chini
 
Back
Top Bottom