platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,424
- 11,320
Hakuna zaidi ya kuhustle na kuongeza bidii na juhudi katika maisha...........raha sana unapotoa hela yako ya halali kununua bajaj kwa jina lako..........kuliko kuletewa Q7 usiyojua hata ni sh ngapi..........huyo aliyekuletea pesa haina picha yake.........tafuta yako..........gadem mazafantazzzz.......wanaopenda bwerereeee...........
Ila kwa kweli jijini Dar kuna hitaji maombi..........tena ya mkesha..........
huku Yaeda kila mtu anauza vitunguu vyake na mchele wa magugu........
juzi Katarina kanunua passo.........Perpetua kasema hakubali........January na yeye anaagiza Duet.......X5 na 6 mnazijua nyie huko mjini hakyamama..........
True. Hawa mabinti wa Dar wengi wao kama wamerogwa, akili fupi sana. Unakuta mtu na diploma au degree yake anatumia akili kubwa sana ili ahongwe kuliko kufanya kazi.
Naishi Dar lakini nimefika mikoa yote huku Tanganyika, nawapa sana bigup wasichana wa Arusha, Kilimanjaro, Mwanza na hata Mbeya. Wana_hustle sana na kwa wengi wao hukuti hizi showoff za kijinga, ila Dar (hasa hawa wasomi wetu) ambao role model wao ni akina Wema nk na group zao hovyo kabisa.