Mange Kimambi vs Le mutuz, chanzo cha bifu ni nini?

Status
Not open for further replies.

richaabra

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
1,472
Reaction score
3,511
Leo katika mtandao wa instagram kumeibuka mvutano mkubwa na vijembe kati ya mange na lemubebezz tajiri mkubwa lemutuz
Vijembe vilianzishwa na lemutuz kuwa mange ni kibibiz kisichokuwa na kazi maalum,yaan ni jobless na anashinda kwenye mitandao kufwatilia ya watu
Jioni hii mange naye kajibu mapigo eti lemutuz ni kubwa jinga ,kuwa ameshindwa kujenga kwao na anaishi hapa mjini kimaigizo,kujionyesha kwingi na hela hana jionee[emoji116]
 
Nimezileta tu kama nilivyoziona
 
Sijui hawa watu wamefanyana nini.....

Wacha sisi tuendelee kuangalia hii movie. ....
 
hapo lazima kuna team zimesha jiunda kuchochea. mwenye busara anatakiwa ampotezee mwenzie
 
Hhh huko insta leo hakitoshi ni vijembe tena vizito
 
Sidhani kama Le Mutuz atapungukiwa kitu akiamua kuishi maisha ya faragha. Siyo tu kwa umri ila pia kwa dhamira ya kutunza heshima na legacy ya Mzee wake ambaye aliitumikia hii nchi kwa moyo wake wote.

Naumia sana kuona William anatumia mitandao kufanya majibishano yenye kumuacha uchi yeye na family yake.

Am out
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…