Mange Kimambi vs Le mutuz, chanzo cha bifu ni nini?

Status
Not open for further replies.
Sidhani kama Le Mutuz atapungukiwa kitu akiamua kuishi maisha ya faragha. Siyo tu kwa umri ila pia kwa dhamira ya kutunza heshima na legacy ya Mzee wake ambaye aliitumikia hii nchi kwa moyo wake wote.

Naumia sana kuona William anatumia mitandao kufanya majibishano yenye kumuacha uchi yeye na family yake.

Am out
Kweli Aache kuchambana na mwanamke yani jamaa cjui vp
 
12d2721d176e4260b5101b1b42f14655.jpg

Mange kamkosa LeMutuz analia lia, lazima alitegemea kuombwa amuoe amsaidie kurudi nchini na kumsaidia asiwe nyama ya mbwa anavyosubiriwa kwa hamu na watu..sasa LeMutuz kapata jiko anawashwaaaaaa haswa na hivyo yupo singo ni shidaaaa
 
Nimewasoma wote na comments za followers wao, mshindini MANGE. Uwiiiiiiiiiiiiiiii lemutuz angeacha kabisa bifu na huyu dada manake ana matusi ready made! Hahahahahaha nimecheka no pale anapomhurumia mchumba wa lemutuz eti kwa kubeba fuso tani 10 anaishia kuhongwa elfu 20 wakati alipaswa apewe hadi hela ya kuendea gym
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Anamsema nyumba aliishi mama ake wakati yeye alizaliwa uswazi uswazi ndani ndani baada ya ababake kumpa mimba housegirl ambaye ni mama ake...kasota kwenye shida...naona anaelekea kurudi huko sababu na mzungu katimka mbio...na mama ake aliishi tena Dar tena sehemu sijui nayo wanasema mbaya sana hakuwa na kitu...hata kuiba pesa za baba ake amjengee mama yake alijuwa busy kusaka mzungu na kuomba ma binti na wanawake wa Kitanzania wampe dola mia awaunge kwenye mtandao wakutane na wazungu huku kujiunga ni dola 20... Yaani waingie alafu wasake wenyewe sio kwamba anawapa...ni tapeli wa grade A*** na pia nguo na sijui nini kaibia watu wa hapa nchini pesa walipomdai aliwatukana na kuwachafua mitandaoni.

Sasa yeye na lemutuz msaka pesa kwa jasho lake nani bora?? Ujiulize wewe mange. Acha upuuzi
 
Nimewasoma wote na comments za followers wao, mshindini MANGE. Uwiiiiiiiiiiiiiiii lemutuz angeacha kabisa bifu na huyu dada manake ana matusi ready made! Hahahahahaha nimecheka no pale anapomhurumia mchumba wa lemutuz eti kwa kubeba fuso tani 10 anaishia kuhongwa elfu 20 wakati alipaswa apewe hadi hela ya kuendea gym

Sio kumshabikia tu, mshaurini akatafute kazi zaidi ya umbea, ataishia kujinyonga talaka inahuu. Pia mshaurini amlinde mwanae wa kike na mitandao. Najua wazazi wa kisasa mtaniona mshamba kwa hili.
 
Mange kamkosa LeMutuz analia lia, lazima alitegemea kuombwa amuoe amsaidie kurudi nchini na kumsaidia asiwe nyama ya mbwa anavyosubiriwa kwa hamu na watu..sasa LeMutuz kapata jiko anawashwaaaaaa haswa na hivyo yupo singo ni shidaaaa

ingependeza sana hii comment yako ungeitoa kwenye akaunti yake , tuone atakachokujibu ......maana majibu yake yanatutolea stress kabisa hahahaha
 
Anamsema nyumba aliishi mama ake wakati yeye alizaliwa uswazi uswazi ndani ndani baada ya ababake kumpa mimba housegirl ambaye ni mama ake...kasota kwenye shida...naona anaelekea kurudi huko sababu na mzungu katimka mbio...na mama ake aliishi tena Dar tena sehemu sijui nayo wanasema mbaya sana hakuwa na kitu...hata kuiba pesa za baba ake amjengee mama yake alijuwa busy kusaka mzungu na kuomba ma binti na wanawake wa Kitanzania wampe dola mia awaunge kwenye mtandao wakutane na wazungu huku kujiunga ni dola 20... Yaani waingie alafu wasake wenyewe sio kwamba anawapa...ni tapeli wa grade A*** na pia nguo na sijui nini kaibia watu wa hapa nchini pesa walipomdai aliwatukana na kuwachafua mitandaoni.

Sasa yeye na lemutuz msaka pesa kwa jasho lake nani bora?? Ujiulize wewe mange. Acha upuuzi
Huku kuvamia familia za watu huku sasa the so called mjomba anachambwa hadharani?
 
ingependeza sana hii comment yako ungeitoa kwenye akaunti yake , tuone atakachokujibu ......maana majibu yake yanatutolea stress kabisa hahahaha

Mange yumo humu huko alishatubloki wengine sie hapendagi ukweli, kwa uzoefu wangu wa kuwa mdaku wa humu najua yumo...ana ID aliacha kuzitumia za kujitetea...hawezi kulala bila kujisechi kama kasemwa humu...
 
Huku kuvamia familia za watu huku sasa the so called mjomba anachambwa hadharani?

Hahahaaaaa, mjomba na mama ake wapo close yeye katemwaaa inauma

Ila na birthday ya Mwamvita imemkuna weekend iliyopita, kumuona na mashosti wale aliowaunganisha nae wanakula bata bata na hadi leo mmoja bado yupo huko ni maumivu haswaaaaa.. ikabidi maumivu amrukie Lemutuz kutoa mawazuuuuuu
 
King wa mitandao yote ya kijamii Tanzania lemutuz amepigwa picha akichafua mazingira kwa kujisaidia haja ndogo barabarani kwa kweli ni aibu kwa mtu ambaye ndio ilitakiwa kupinga vikali uchafuzi wa mazingira yeye ndio anaonekana kukiuka sheria kwa kujisaidia barabarani wakati ni marufuku mtu kujisaidia barabarani kwasababu uchafuzi wa namna hii unaweza kusababisha magonjwa ya mripuko!
1469377998635.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom