Mange Kimambi vs Le mutuz, chanzo cha bifu ni nini?

Status
Not open for further replies.
Sawa, point well taken.

But on the flip side, why do you kids feel the need to beef with your elder?

Isn't respect supposed to be a two-way street?

Theres no excuse to an old man fussing about my kids or mother,..
 
There are no excuses for any grown ups to hurl insults at each other on social media.

Low down is low down.

At some point, u have to raise your voice. Theres a limit to respecting somebody who don't respect u, they need a piece of sh..t they get it.
This fool right here needs psychiatric treatment. Somebody can be a young fool but whats the point of him being 70yrs old fussing on social medias with a bunch of brags and lies?
 
lkn be honest, wazee wazima wangapi wako mitandaoni wanatukanwa mpaka unachoka na hawajibizani na watu zaidi ya huyu Lemutuz?

1] Uzee ni kuanzia umri upi? Linda naye anahesabika kwenye uzee?

2] Mtandao ni msitu. Na watu wasipotumia majina yao utajua nani ni nani? Huenda kuna wazee kibao tu ambao hujitoa fahamu na kutapika mitusi kwenye mitandao.
 
There are no excuses for any grown ups to hurl insults at each other on social media.

Low down is low down.

If its about his stupid blog, he doesnt need to be so low to get viewers! Come on. Kesho na kesho kutwa utamfata mtu kama lemutuz akushauri lolote kama mkubwa wako? Lets be honest tafadhali, Mange mkorofi, ila huyu baba punguani wa hali ya juu.
 
At some point, u have to raise your voice. Theres a limit to respecting somebody who don't respect u, they need a piece of sh..t they get it.

If that's the attitude then there's no hope for civility.

He talks junk, you clap back. You throw shade, you catch fade.

A vicious cycle.

This fool right here needs psychiatric treatment.

Do you guys know each or something?

Somebody can be a young fool but whats the point of him being 70yrs old fussing on social medias with a bunch of brags and lies?

Now that - 70yrs - is a major stretch. He ain't that old now.
 
1] Uzee ni kuanzia umri upi? Linda naye anahesabika kwenye uzee?

2] Mtandao ni msitu. Na watu wasipotumia majina yao utajua nani ni nani? Huenda kuna wazee kibao tu ambao hujitoa fahamu na kutapika mitusi kwenye mitandao.

Linda hana tofauti na Lemutuz, maybe she will stop at the age of Lemutuz. Yule menopause inamsumbua, ila huyu babu hana excuse ya kukosa BuSara
 
If that's the attitude then there's no hope for civility.

He talks junk, you clap back. You throw shade, you catch fade.

A vicious cycle.

Do you guys know each or something?

Now that - 70yrs - is a major stretch. He ain't that old now.

He is damn 60 minus 3, my dads age!
I don't know this man, i read his stupidity here, one word, he is a fool. Thats all
I can imagine my dad clapping back on some girls my age on social media. Thats how low this man is.
 
If its about his stupid blog, he doesnt need to be so low to get viewers! Come on. Kesho na kesho kutwa utamfata mtu kama lemutuz akushauri lolote kama mkubwa wako? Lets be honest tafadhali, Mange mkorofi, ila huyu baba punguani wa hali ya juu.

Mange yeye siyo punguani?

Mbona wote ndo walewale tu...

Ila naona Le Mutuz anakukera sana eeh?
 
Siku zote penye mapenz ujue lazima patatokea ugomvi ndo kama hivyo.
 
He is damn 60 minus 3, my dads age!
I don't know this man, i read his stupidity here, one word, he is a fool. Thats all

Then why don't you pay him no attention?

Going back and forth with him does nothing but give him the oxygen of publicity he so seeks.

Don't you think?
 
Mange yeye siyo punguani?

Mbona wote ndo walewale tu...

Ila naona Le Mutuz anakukera sana eeh?

Mange mkorofi sikatai,
Point yangu hii nikuulize naomba nijibu, busara za utu uzima wa lemutuz ziko wapi kwa mkorofi mange kama lemutuz anakaa mtandaoni kujibizana na Mange?
 
1] Uzee ni kuanzia umri upi? Linda naye anahesabika kwenye uzee?

2] Mtandao ni msitu. Na watu wasipotumia majina yao utajua nani ni nani? Huenda kuna wazee kibao tu ambao hujitoa fahamu na kutapika mitusi kwenye mitandao.
Lakini le mutuz yeye anafahamika kama mtu mzima,so inabidi yeye wakati mwingine akubali kumeza machungu na kukaa kimya kuliko kutupiana maneno na wadogo zake insta kwani yeye kuna watu wengi wanamwangalia kama role model,kwa hiyoanavyoendelea kutupiana maneno na vijana wadogo anakuwa anweka mfano mbaya hata kama andai kuwa anweka FACT na EVIDENCE lakini ushauri wangu kwake angekua anajitahidi kuuchuna tu.
 
Mange mkorofi sikatai,
Point yangu hii nikuulize naomba nijibu, busara za utu uzima wa lemutuz ziko wapi kwa mkorofi mange kama lemutuz anakaa mtandaoni kujibizana na Mange?

Sawa, busara nakiri hazipo.

Lakini mbona busara za Mange huzihoji?

Do you cosign what she does?

You certainly can't give Mange a pass and dump on Le Mutuz.

Or can you?
 
Then why don't you pay him no attention?

Going back and forth with does nothing but give him the oxygen of publicity he so seeks.

Don't you think?

I do t pay him no attention, but theres a topic posted here, I read and i see no reason for him to back and forth with some girls for months. He's old enough to not have time for that. But fool enough to think i am Mange and of coz , keep on keeping on the craps.
Wazee wenye wisdom wameisha Tanzania. Tumebaki na makapi matakataka kama huyu baba
 
Mbona hata Mange ni mtu mzima...

Kwani mtoto yule? Mtu ana watoto watatu na ndoa [iliyo ICU] atakuwa mtoto huyo?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…