Clueless14
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,108
- 4,751
Sawa, busara nakiri hazipo.
Lakini mbona busara za Mange huzihoji?
Do you cosign what she does?
You certainly can't give Mange a pass and dump on Le Mutuz.
Or can you?
Lakini le mutuz yeye anafahamika kama mtu mzima,so inabidi yeye wakati mwingine akubali kumeza machungu na kukaa kimya kuliko kutupiana maneno na wadogo zake insta kwani yeye kuna watu wengi wanamwangalia kama role model,kwa hiyoanavyoendelea kutupiana maneno na vijana wadogo anakuwa anweka mfano mbaya hata kama andai kuwa anweka FACT na EVIDENCE lakini ushauri wangu kwake angekua anajitahidi kuuchuna tu.
Mange attacks are there all the time to anyone, no discussions on that, ukiendelea nae anakuendeleza, how many ignored her craziness and she stopped?
Why not this old man? Thats what i'm questioning huyu kazidiwa akili na akina Kiki ambao hawakumjibu huyo mange lolote.
Then why don't you pay him no attention?
Going back and forth with him does nothing but give him the oxygen of publicity he so seeks.
Don't you think?
Ni kweli huyo Mange ni mtu mzima,lakini Nigga wako ni mtu mzima zaidi enough to be Manges dad,lakini anayoyafanya hayafanani na alivyo,ni sawa na wewe hapo uwe unabishana na binti yako in public ,je ni sawa? binafsi ningemshauri le mutuz aachane naye na asitumie muda wake kujibishana na Mange ambaye pia naye namuona kama mtu mkorofi na mtafuta shari wakati wote,kwani ukitajiwa hiyo orodha ya watu aliokorofishana nao hutohitaji hata kupishana nae kwa nukta,kwani anaonekana huwa anatafuta shari muda wote ili aweze kugombana na watu.So brother Ngabu tell your Nigga to play detente with that hag(as he use to call her).Mbona hata Mange ni mtu mzima...
Kwani mtoto yule? Mtu ana watoto watatu na ndoa [iliyo ICU] atakuwa mtoto huyo?
Hao sijui akina Kiki huenda ndo hata wakawa nyuma ya hiyo ID ya Kichwa nini sijui.
Ndo maana hapo awali nimesema kwamba mitandao ni misitu.
Kwa sababu, kama mtu hatumii jina lake, kujua nani ni nani ni vigumu.
Kwa hiyo mnaweza kuwaona hao akina Kiki kuwa ni wastaarabu sana kumbe hamna lolote. Ndo walewale tu.
By beefing na wanawake? He will get the publicity (of coz he has now as he wished) ila kujishusha heshima kwa cheap public attention at his age? Hata km mie ndo ningekuwa mwanae ningemkataa right on his face.
Yote yawezekana lkn huyu tunamchukulia mkubwa wetu, hivi unanfataje mtu kama huyu akupe ushauri wa lolote?
Kwani ku beef na wanawake ni ishu? Wanawake hawana hadhi wala uwezo wa ku beef na wanaume?
Kama mtu unamwona hana maana si unampotezea tu..
Halafu busara hazina umri wala rika.
Kijana mdogo tu anaweza akawa na busara nyingi sana kuliko vibabu na vibibi.
Ni kweli huyo Mange ni mtu mzima,lakini Nigga wako ni mtu mzima zaidi enough to be Manges dad,lakini anayoyafanya hayafanani na alivyo,ni sawa na wewe hapo uwe unabishana na binti yako in public ,je ni sawa? binafsi ningemshauri le mutuz aachane naye na asitumie muda wake kujibishana na Mange ambaye pia naye namuona kama mtu mkorofi na mtafuta shari wakati wote,kwani ukitajiwa hiyo orodha ya watu aliokorofishana nao hutohitaji hata kupishana nae kwa nukta,kwani anaonekana huwa anatafuta shari muda wote ili aweze kugombana na watu.So brother Ngabu tell your Nigga to play detente with that hag(as he use to call her).
Anza kumpotezea Nifah π.
Lol, i rest my case.
Deuces up![emoji111]οΈ
Hahaaa nadhani ungeanza kumshauri yeye ndo anipotezee maana haeshi kuwakumbusha watu jinsi asivyonipenda....
Basi usishauri watu wawapotezee wengine wakati wewe mwenyewe hujui kupotezea; unataka kupotezewa.
Kama mtu unamwona hana maana si unampotezea tu..
Halafu busara hazina umri wala rika.
Kijana mdogo tu anaweza akawa na busara nyingi sana kuliko vibabu na vibibi.
Isn't it a fair game?
.I do and say what I wanna do and say there ain't nothing you can do about it.
William Melecela angekuwa on 30s or 40s, maybe. 50s almost 60s beefing with30s, and women on social media? Lordt! Atakuwa kazaliwa na hormones za kike km members wa rainbow! Now najua atakuja hapa kujichekesha uongo with his Stank black behind, what he does best akimaliza, he can stick that middle finger wherever he knows and leave peacefully.