Kizazi cha siku hizi hiki! Zamani tulikuwa tunafundishwa kutojibizana na waliotuzidi umri, kumbe siku hizi ni kinyume, wakubwa ndio wanakatazwa kujibizana na wadogo wao ki umri?!Lakini le mutuz yeye anafahamika kama mtu mzima,so inabidi yeye wakati mwingine akubali kumeza machungu na kukaa kimya kuliko kutupiana maneno na wadogo zake insta kwani yeye kuna watu wengi wanamwangalia kama role model,kwa hiyoanavyoendelea kutupiana maneno na vijana wadogo anakuwa anweka mfano mbaya hata kama andai kuwa anweka FACT na EVIDENCE lakini ushauri wangu kwake angekua anajitahidi kuuchuna tu.
Kaka, kwa hawa vijana wa siku hizi ni bora ukakaa kimya tu ili aje afunzwe na ulimwengu,maana vijana wa sasa ni wabishi na wajuaji kuliko,ndo maana namshauri jamaa amshauri jamaa yake ampotezee yule binti kuliko kuendelea kuzozana nae mwenye hizi social media, ukizingatia ni wengi wanao pitia humu na wanaosoma yanayoandikwa kwa hiyo isije fika wakati watu wakashindwa kutofautisha kati ya mwenye busara na asiye na busara,kwa hiyo wakati mwingine kukaa kimya au kumpotezea mtu ni bora kuliko kutaka kushindana nae.Kizazi cha siku hizi hiki! Zamani tulikuwa tunafundishwa kutojibizana na waliotuzidi umri, kumbe siku hizi ni kinyume, wakubwa ndio wanakatazwa kujibizana na wadogo wao ki umri?!
King of all media's na queen[emoji23] [emoji23] Mkuu umjui King of all media's na queen
Acha utani ban....watu maaruf wakat hap maskan hawajulikanWatu maaruf hao
ni keanuhahaha babu kaenu
Yaani hilo lizee halioni kama halina akili timamu janaume zima kuendekeza bifu na mwanamke na kufake mipicha adi ya vyakula insta jinga kabisa ata haliendani na mwili alionao! Jiiinga kabisa na vidiploma vyake anatudanganya apa eti anaweza soma PhDKwa uzee ulioanao na bifu za kijinga online mnazoendekeza, wewe ndo kenge mweusi wa hali ya juu. Wewe ndo ulitakiwa uwe WISE at your 60yrs old umri wa kukaribia kuishi nursing homes, lkn u were stupid from the beginning kumtetea tapeli Dr Mwaka kwa ajili ya tumbo lako bila kujali walio desperate kupata watoto wanapata madhara gani. Yani hata wewe mule mule tu unataka sifa uonekane umemkomesha ila kwa uzee ulonao, we ndo fala mara mbili. Huna tofauti na akina linda na watoto wote watukanaji insta. Kupata wasomaji wa blog yao haimaanishi ujishushe hadhi hata ndogo ulokuwaga nayo, maana wengine tusingejua hata zile degree unazopigia kelele kila siku ni hizi diploma za community colleges marekani cha!!!!!!!
Siku zote mzee ndo anatakiwa ajiheshimu ndo aheshimiweJust to be fair...kwa nini na hao wanae wagombane na mzee wao mitandaoni?
Siku zote mzee ndo anatakiwa ajiheshimu ndo aheshimiwe
Wanapaswa kujiheshimu sana ila uyo lemtumbozzzz angekuwa anajiheshimu na akawa kimya asimjibu ata kidogo mange angekuwa hana mishe naye sasa lemutuz anaonekana mtu mzima anayoshinda anayafanya insta hayaendani ata na jinsia aliyonayo angejiheshimu mange angemuheshimu pia sasa anaendeleza mabifu as if wamechukuliana bwana ndo niniNa watu wazima hawapaswi kujiheshimu, siyo?
Wanapaswa kujiheshimu sana ila uyo lemtumbozzzz angekuwa anajiheshimu na akawa kimya asimjibu ata kidogo mange angekuwa hana mishe naye sasa lemutuz anaonekana mtu mzima anayoshinda anayafanya insta hayaendani ata na jinsia aliyonayo angejiheshimu mange angemuheshimu pia sasa anaendeleza mabifu as if wamechukuliana bwana ndo nini
I have loved following your points...very matured [emoji108]Hata Mange angejiheshimu basi Le Mutuz naye wala asingekuwa na taimu naye.
It goes both ways!
Thank you Binti. You're the best.I have loved following your points...very matured [emoji108]
Kwa hiyo apo ulitaka kusema nini mdau? Wanawake ni soo stupid au fools au ni vitu gani??? [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]By beefing na wanawake? He will get the publicity (of coz he has now as he wished) ila kujishusha heshima kwa cheap public attention at his age? Hata km mie ndo ningekuwa mwanae ningemkataa right on his face.
App ipi kwa mfano? Maana mimi ni mgeni kule ati!