Kwa uzee ulioanao na bifu za kijinga online mnazoendekeza, wewe ndo kenge mweusi wa hali ya juu. Wewe ndo ulitakiwa uwe WISE at your 60yrs old umri wa kukaribia kuishi nursing homes, lkn u were stupid from the beginning kumtetea tapeli Dr Mwaka kwa ajili ya tumbo lako bila kujali walio desperate kupata watoto wanapata madhara gani. Yani hata wewe mule mule tu unataka sifa uonekane umemkomesha ila kwa uzee ulonao, we ndo fala mara mbili. Huna tofauti na akina linda na watoto wote watukanaji insta. Kupata wasomaji wa blog yao haimaanishi ujishushe hadhi hata ndogo ulokuwaga nayo, maana wengine tusingejua hata zile degree unazopigia kelele kila siku ni hizi diploma za community colleges marekani cha!!!!!!!