Mange Kimambi vs Le mutuz, chanzo cha bifu ni nini?

Status
Not open for further replies.
Hivi serikali inashindwa kumnyamazisha kidiplomasia huyu mama, maana anaropokwa hovyo tu huko Instagram, kosa liko wazi"kuchochea vurugu kwa kutumia media "
Maana kila mtu kwake mbaya,
Kila jambo linafanywa na rais na serikali baya.
Marekani si mbinguni, ni kutuma arrest order tu anashushwa hapa kujibu tuhuma zake.
 
Anachochea au anasema ukweli- America wanam classify huyu kama analilia Democracy iliyopotea nchini kwake-pengine na funds anapata
 
Anachochea au anasema ukweli- America wanam classify huyu kama analilia Democracy iliyopotea nchini kwake-pengine na funds anapata
Upumbavu mtupu, kama ndio democracy inatafutwa kwa kutukana watu na kudhalilisha viongozi basi kazi ipo.
 
Upumbavu mtupu, kama ndio democracy inatafutwa kwa kutukana watu na kudhalilisha viongozi basi kazi ipo.

We nae, amemtukana kiongozi yupi matusi? I am not Mange's fan but uchambuzi wake wa siasa na democracy ni spot on. I wish aache ujinga wa mabeef na kutukanana na aconcentrate on siasa ya Tanzania.
 
Wanapendana na wote wameachika.

Wanasubiri muda muafaka kusaidiana kuleleana watoto wao...Le Mutuz atakuwa baba wa kambo wa watoto wa mzungu na wa mtanzania.
Na hao viumbe wakiunganisha vichwa sipati picha mmoja chizi mwingine mwehu mbona patawaka moto.
 
Mange ameshampata kiboko yake huko Insta anaitwa kichwapanziiii......
Unaonekana unafuatilia sana Maisha ya watu..yan watu kama nyinyi ndo mnawapa umaarufu wajinga kama hawa...HV huwa mnapata faida gani?mmekosa kazi za kufanya?Nimefungua huu Uzi kimakosa sana.
 
Unaonekana unafuatilia sana Maisha ya watu..yan watu kama nyinyi ndo mnawapa umaarufu wajinga kama hawa...HV huwa mnapata faida gani?mmekosa kazi za kufanya?Nimefungua huu Uzi kimakosa sana.
Nimekusamehe bure tu baada ya kugunduwa ulikuj huku kimakosa.

Jukwaa la celeb huku hatujadili kilimo cha mbogamboga wala uchumi, huku tunajadili maceleb.

Wenzako wenye akili kubwa wapo kule jukwaa la Intelligence na jukwaa la technology.

Hujawahi kugunduwa hata sindano na wewe unajiona ni genius!! Shenzi bagamoyo....

Hebu pita hivi tuondolee kiwingu.[emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117]
 
We nae, amemtukana kiongozi yupi matusi? I am not Mange's fan but uchambuzi wake wa siasa na democracy ni spot on. I wish aache ujinga wa mabeef na kutukanana na aconcentrate on siasa ya Tanzania.
Kweli kabisa siasa za bongo anazijua akichanganya na exposure aliyonayo ni 100 times better then le mutuz
 
LEMUTUZ AMPONDA MANGE NAKUSEMA HUWAFUATA WATU MAARUFU TU.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…