Clueless14
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,108
- 4,751
Kwa hiyo apo ulitaka kusema nini mdau? Wanawake ni soo stupid au fools au ni vitu gani??? [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Unavyoelewa ndio hivyo hivyo,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo apo ulitaka kusema nini mdau? Wanawake ni soo stupid au fools au ni vitu gani??? [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Anachochea au anasema ukweli- America wanam classify huyu kama analilia Democracy iliyopotea nchini kwake-pengine na funds anapataHivi serikali inashindwa kumnyamazisha kidiplomasia huyu mama, maana anaropokwa hovyo tu huko Instagram, kosa liko wazi"kuchochea vurugu kwa kutumia media "
Maana kila mtu kwake mbaya,
Kila jambo linafanywa na rais na serikali baya.
Marekani si mbinguni, ni kutuma arrest order tu anashushwa hapa kujibu tuhuma zake.
Upumbavu mtupu, kama ndio democracy inatafutwa kwa kutukana watu na kudhalilisha viongozi basi kazi ipo.Anachochea au anasema ukweli- America wanam classify huyu kama analilia Democracy iliyopotea nchini kwake-pengine na funds anapata
Upumbavu mtupu, kama ndio democracy inatafutwa kwa kutukana watu na kudhalilisha viongozi basi kazi ipo.
Aha! So ni mtu na Mkewe?[emoji23] [emoji23] Mkuu umjui King of all media's na queen
Na hao viumbe wakiunganisha vichwa sipati picha mmoja chizi mwingine mwehu mbona patawaka moto.Wanapendana na wote wameachika.
Wanasubiri muda muafaka kusaidiana kuleleana watoto wao...Le Mutuz atakuwa baba wa kambo wa watoto wa mzungu na wa mtanzania.
Unaonekana unafuatilia sana Maisha ya watu..yan watu kama nyinyi ndo mnawapa umaarufu wajinga kama hawa...HV huwa mnapata faida gani?mmekosa kazi za kufanya?Nimefungua huu Uzi kimakosa sana.Mange ameshampata kiboko yake huko Insta anaitwa kichwapanziiii......
Nimekusamehe bure tu baada ya kugunduwa ulikuj huku kimakosa.Unaonekana unafuatilia sana Maisha ya watu..yan watu kama nyinyi ndo mnawapa umaarufu wajinga kama hawa...HV huwa mnapata faida gani?mmekosa kazi za kufanya?Nimefungua huu Uzi kimakosa sana.
Na hao viumbe wakiunganisha vichwa sipati picha mmoja chizi mwingine mwehu mbona patawaka moto.
Kweli kabisa siasa za bongo anazijua akichanganya na exposure aliyonayo ni 100 times better then le mutuzWe nae, amemtukana kiongozi yupi matusi? I am not Mange's fan but uchambuzi wake wa siasa na democracy ni spot on. I wish aache ujinga wa mabeef na kutukanana na aconcentrate on siasa ya Tanzania.
wambea wa town sio wahuni...Mbona kama anahojiwa wa wahuni?
Hahahhahahahahaha hatareeMbona kama anahojiwa wa wahuni?