Mbona kama anahojiwa wa wahuni?
[emoji2] [emoji1] [emoji3] [emoji2] [emoji3] [emoji3]Babu keanu
Mkuu naona jamaa nae anatafuta six packs!
Mkuuuuu
Uko sahihiSio uwafuata watu maarufu tu, bali uwafuata watu maarufu wanaofanya ujinga kwenye jamii.
Kumbe Mange na Lemutuz ni mtu na mwanae. Sasa mbona wanachambana kama mtubakiBabu keanu
Ujinga tu unawasumbuaWanajiita masocialite
Le Mutuz akiendelea kumfuatafuata Mange ataadhirika
Hahahaaaaaaaa......
Halafu tabia zao sawa sawa hayo anayo yasema kwa huyo binti ni kama yeye mwenyewe anajitazama kwenye kioo kisha ana jing'ong'a ,kweli nyani haoni kundule.watu wazima hovyooo!!!!
True kabisaHalafu tabia zao sawa sawa hayo anayo yasema kwa huyo binti ni kama yeye mwenyewe anajitazama kwenye kioo kisha ana jing'ong'a ,kweli nyani haoni kundule.