Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Keshaniambia nafasi yangu ipo, my le mbebies.Sky Elcat bado yeye akutane na Wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Keshaniambia nafasi yangu ipo, my le mbebies.Sky Elcat bado yeye akutane na Wewe
Mama yake Le Mutuz alifariki mwezi June, jina lake ni Mama Rhoda Sichali.hivi ni kweli ni mtoto wa margareth sitta?!!
You know,jamaa ame employ 3 graduates,hence ameplay part katika kutoa ajiraz you knowView attachment 383731
Mkuu huyo jamaa chenga sana huwa sipati picha angekuwa na uwezo kama wakina mengi mbona ingekuwa shida sana town maana anambwembwe balaa!
Duh!jamaa anambwembwe sanaYou know,jamaa ame employ 3 graduates,hence ameplay part katika kutoa ajiraz you know
They can be wrong but point ya huyu mzee kuwa mzee ninini kwa wanae kama anapeana mipasho nao?
[/URL]
Nilitaka kushangaa hivyo vyuo alivyopatia hizo degree 3 kwa mtu alivyo mtupu kama le mutuz, kuja kujua ukweli nilibaki kushangaa maana le jamaa kila article akitaka kuwabandua wabeba box anajidai yy baada ya kupata degree 3,. Kumbe sio degree ni vidiploma tu mavi yake muongo sana huyo mzee.
- Kesho usikose kusoma makala yangu kwenye Jambo Leo "Hoja ya Wiki" na kila wiki huwa ni Jumanne, hahahahahaha U know!!
le Mutuz Nation
Tuwekee picha tumuone huyo kichwa panzi!mange kashamkata kichwa panzii
lllooihh!!
yaani singeli ndo kwanza inaanza upyaaaa!!!
shoga screen shot inanshinda Ila ningemueka kumbe kipindi kile alikua anamtafuta chini kwa chini!!Tuwekee picha tumuone huyo kichwa panzi!
Duh huyo kichwa panzi yuko hapahapa bongo?shoga screen shot inanshinda Ila ningemueka kumbe kipindi kile alikua anamtafuta chini kwa chini!!
yuko Finland anaitwa Emma Nkonoki baba ake alikua profesa wa UD enzi hizo yaani Ila mange kamuambia sikuchambi ng'oo ili ukose utetezi!Duh huyo kichwa panzi yuko hapahapa bongo?
maana kasema anataka kumsuee!yuko Finland anaitwa Emma Nkonoki baba ake alikua profesa wa UD enzi hizo yaani Ila mange kamuambia sikuchambi ng'oo ili ukose utetezi!