Mange Kimambi vs Le mutuz, chanzo cha bifu ni nini?

Status
Not open for further replies.
Hii hali inasikitisha hasa ukiwaza wote ni watu wazima wenye watoto. ..busara na hekima zinahitajika ukisha kuwa na watoto jamani jamani!
 
Nilitaka kushangaa hivyo vyuo alivyopatia hizo degree 3 kwa mtu alivyo mtupu kama le mutuz, kuja kujua ukweli nilibaki kushangaa maana le jamaa kila article akitaka kuwabandua wabeba box anajidai yy baada ya kupata degree 3,. Kumbe sio degree ni vidiploma tu mavi yake muongo sana huyo mzee.
 

- Kesho usikose kusoma makala yangu kwenye Jambo Leo "Hoja ya Wiki" na kila wiki huwa ni Jumanne, hahahahahaha U know!!

le Mutuz Nation
 
mange kashamkata kichwa panzii
lllooihh!!
yaani singeli ndo kwanza inaanza upyaaaa!!!
 
...hawa watu wamekusa kama vituko kwangu........
 
Hawa watu kumbe wana exist.....mm nilijuwa ni kama vile madenge na Fudodido
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…