[emoji1] [emoji1] [emoji1] dr what???Hao ndio wateja wa akina Dr.Mwaka.!
Nimewasoma wote na comments za followers wao, mshindi ni MANGE. Uwiiiiiiiiiiiiiiii lemutuz angeacha kabisa bifu na huyu dada manake ana matusi ready made! Hahahahahaha nimecheka mno pale anapomhurumia mchumba wa lemutuz eti kwa kubeba fuso tani 10 anaishia kuhongwa elfu 20 wakati alipaswa apewe hadi hela ya kuendea gym
Acha hyo ile ya kwmba anaenda kuzika kavaa pensi nyanyaNimewasoma wote na comments za followers wao, mshindini MANGE. Uwiiiiiiiiiiiiiiii lemutuz angeacha kabisa bifu na huyu dada manake ana matusi ready made! Hahahahahaha nimecheka no pale anapomhurumia mchumba wa lemutuz eti kwa kubeba fuso tani 10 anaishia kuhongwa elfu 20 wakati alipaswa apewe hadi hela ya kuendea gym