Mange Kimambi vs Le mutuz, chanzo cha bifu ni nini?

Mange Kimambi vs Le mutuz, chanzo cha bifu ni nini?

Status
Not open for further replies.
Huyu mange na ukahaba wake anatapatapa Sana, yaani jiji zima watu wanakojoa hovyo yeye kamuona le mutuz tu, Nyambafu zake, ni bora ufuge paka 100 kuliko kuzaa mtoto Kama mange
 
Le Big show, am humbled you know,
NAAAAFWWWWWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZ
 
King wa mitandao yote ya kijamii Tanzania lemutuz amepigwa picha akichafua mazingira kwa kujisaidia haja ndogo barabarani kwa kweli ni aibu kwa mtu ambaye ndio ilitakiwa kupinga vikali uchafuzi wa mazingira yeye ndio anaonekana kukiuka sheria kwa kujisaidia barabarani wakati ni marufuku mtu kujisaidia barabarani kwasababu uchafuzi wa namna hii unaweza kusababisha magonjwa ya mripuko!View attachment 370419


Ila jamani kwa TANZANIA mimi hata silaumu....Kwanza tuanze ktk suala la taka
1. Ingetakiwa kila baada ya hatua kadhaa kuna DUSTBIN lkn hakuna halafu wewe mkuu unakurupuka kusema mtu asichafue mazingira, umemuandalia vipi mazingira ya yeye kuhifadhi taka?

2. Mimi ilishawahi nikuta, nipo ktk gari, nimebanwa mkono balaa, ukiangalia hakuna toilet ya kulipia karibu, mimi ni mwanamke yaani nashukuru tu Mungu kuwa ni gari yangu mwenywe nilitafuta uwezekano wa kukata chupa ya maji iliyokuwa ktk gari nikapark nikakojolea ndani la sivyo ningeumbuka. Hata huyu Lemutuz mkojo pengine umembana sana mazingira ambayo hakuna choo karibu unategemea afanye nini? Ajikojolee?
Mazingira yetu hayajaandaliwa kwaajili ya kutunza mazingira. Vituo vyoote vya Mwendo kasi wangejenga hata choo kimoja kimoja cha haja ndogo cha wanaume na wanawake japo.

Tanzania badooo...tunalaumu wakati mazingira hayajaandaliwa ipasavyo...
 
Ila wanaume mumezidi hao ni wa Asia huko ila wakibongo nadra sana
Hivi siku hizi mkienda kujojowa naona mnabeba tissue ni nini hasa matumizi yake? Maana mbunye inatakiwa ioshwe na maji kama hamuyaamini maji ya public area kwa nini msiseme tuwe tunawanunulia maji special muweke kwenye mikoba yenu?
 
Hao wanaojisaidia nje ni wachafua mazingira tu tena hao wadada ndo wanajitaftia uti vizuri sasa kila mmoja akimwaga cheche sizinawarukia na kupata magonjwa


Hayajakukuta, hujabanwa na mkojo ukiwa njiani utatami gari lisimame hata pasipofaa kusimama. Ni vyoo tuu vingejengwa vya public kulipia kila baada ya umbali fulani kama ilivyo vituo vya dala dala...
 
Huyu Mange hana adabu kila mmoja anamchokonoa yeye tuuu...ashazoea kubwabwaja..
Kaachana Teddy, na Zari sasa kwa Lemutuz




King wa mitandao yote ya kijamii Tanzania lemutuz amepigwa picha akichafua mazingira kwa kujisaidia haja ndogo barabarani kwa kweli ni aibu kwa mtu ambaye ndio ilitakiwa kupinga vikali uchafuzi wa mazingira yeye ndio anaonekana kukiuka sheria kwa kujisaidia barabarani wakati ni marufuku mtu kujisaidia barabarani kwasababu uchafuzi wa namna hii unaweza kusababisha magonjwa ya mripuko!View attachment 370419
 
Kwakweli huo sio tu uchafuzi wa mazingira bali pia ni uharibifu wa mazingira
 
Huyo le mutuz inabidi amuoe huyo mange, wenyewe wame match.kutwa kurushiana maneno back and forth, bora wamalizane le mutuz achukue jumla.maana wanayoyagombania hayana kichwa wala miguu
Hawa wanajuana sana wana agenda ya siri.
 
Le Mutuz kavurugwa UDED hayumo,UDC kasahaulika,UDAS umempita.... Unategemea atafanya nini.
 
Mange lemutuz kakushinda insta una mleta huku mbona hyo ni tabia ya wanaume wengi wa kibongo kuchimba dawa popote
Naomba uwe my wife wangu manake una akili sana! Tena ngoja nikuambie kitu kimoja; Bibi yangu alikuwa na msemo mmoja, sema alikuwa anatumia kilugha and am not good on it lakini tafsiri yake kwa Kiswahili ni sawa na kusema endapo mkojo ingekuwa ugonjwa, watu wangetamani kufa kabisa endapo pasingekuwa na tiba ya haraka! Umeipata point ya bibi yake mimi?! Na mkojo ukishakubana, haina cha mtoto wala mtu mzima; haina cha mwanamke wala mwanaume! Ukikubana lazima utalazimika kuumwaga tu hata kama ni mbele za watu! Tena kwa wanawake ndo kabisa, manake sie angalau tunaweza kuipiga roba shingo huku tukitafuta penye uafadhali!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom