Mange Kimambi vs Le mutuz, chanzo cha bifu ni nini?

Status
Not open for further replies.
Mkuu media za kibogo zinaendeshwa ki kanjanja sana ndo maana unaona wanamuda hata wa kufanya kipindi na le mbulula
 
Sasa kama huyo mange ni chiz kwanin kila siku mnaleta mada mpya juu yake mara mkafungue page fake kumshambulia huyo mnaemwita chiz hamuon kama munapoteza muda tu!
Wewe ndio unapoteza muda wako hapa, kama wewe ni mgeni hapa sema tukuelekeze jukwaa la Intelligence kule ndipo walipo watu wenye akili kubwa kama wewe!!

Usitalajie jukwaa la celebrate lijadili kilimo cha mbogamboga.
 
At wadau tusaidiane kidogo, hawa watu wawili le mutuz na huyu dada mange kimambi mtanzania anayeish marekani wana bifu'?
Le Mutuz aliweka picha ya nyumba yake mpya anayotaka kuhamia au kuijenga (ikiwana swimming pool) ikifuatiwa na kikao cha maandalizi ya harusi yake, ili ahamie hapo
Mange akadai asichangiwe kwani huo ni wizi
Le mutuz akajibu kwa jinsi anavyomjua Mange.
hapo ndipo tufu likaanza sijui Mange alipata wapi picha za mazishi ya mama mzazi wa Le Mutuz akaiweka
akapata picha ya lijamaa limelala uchi hoi kitandani akadai ni Le mbebez
zote Istragam
basi tukawaacha na vita yao
 
Nilimwona Le Mutuz kwenye kipindi akihojiwa na Soud wa clauz, anaonesha kumgwaya sana Mange, anaamini huyo bidada ana influence kwa jamii kwa kiwango kikubwa.
Sioni kama kuna bifu ila kuna hofu..... upande mmoja
 
Nilimwona Le Mutuz kwenye kipindi akihojiwa na Soud wa clauz, anaonesha kumgwaya sana Mange, anaamini huyo bidada ana influence kwa jamii kwa kiwango kikubwa.
Sioni kama kuna bifu ila kuna hofu..... upande mmoja

- hahahahahah hicho kibibi hakijawahi kumshambulia mtu miezi mitatu mfululizo kama kinavyonishambulia, nilichofanya ni kukweka wazi ukweli wa maisha yake na mpaka leo hakina majibu zaidi ya kutukana tu na kuzusha zusha majungu tu! hahahaha ila finally nimekifanya kimekuwa kijitu cha kawaida sana sio kama zamani!1

le Mutuz Nation
 
Ze akili kubwaz anatumia bifu kuongeza kipato but ze kigagulaz anaaibikaz
 
Kama unaanza kumkubari Mange Kudizain flan..Huoni ndo uanamme..After all tumsamehe kwa sasa Ni born again si umeona Anavyokampenia UKUTA?
 
downloader app ziko kibao ww tu na sim yako.
 
Watafuta KIKI kwenye mitandao ya kijamii
 
Kha!...
Mimi ni mgeni huko kwenye ufalme wenu Insta, ina maana unataka kuniambia huyu Mama anayeitwa Mange Kimambi ana watoto watatu na kila mmoja ana baba yake? Hii kali sasa.....

- Huko majuu hana kazi wala mahali pa kuishi, Mzungu kam divorce kisa hataki kazi kutwa kutukanana kwenye mitandao na maadui ambao wameishia kuwa marafiki za Mzungu mume wake wa zamani, sasa kimewachwa hakina mbele wala nyuma, kazi kutukana tu hahahahaha watoto 3 Baba mbali mbali kuna Wabongo na Mzungu combination, umri miaka 41 badala ya kujionea huruma kinakazana kutukana watu, hahahahahahaa huku bongo hana pa kuishi,

- Halafu kinatukana watu kuwa ni watoto wa nje kumbe chenyewe kimezaliwa hivyo hivyo nje, maana baba yake alikuwa na mke anaitwa Gania akazaa naye watoto 2 Kimambi na Anil, sasa kiulize kilizaliwa na nani na wapi? hahahahahaha yeye hana kazi wala hana maisha lakini kila siku kushambulia watu wenye kazi na maisha, hahahahahahaha

le Mutuz
 
Katika ubora wako The Big show @ Down town Dar es salaam....

Huu hauna ma-Inzi......

 
Kha!...
Mimi ni mgeni huko kwenye ufalme wenu Insta, ina maana unataka kuniambia huyu Mama anayeitwa Mange Kimambi ana watoto watatu na kila mmoja ana baba yake? Hii kali sasa.....
All in all huyu Mange siasa za bongo za current anazichambua kiundani sana. It seems politico/economy yuko safi kichwani
 
Mange ameshampata kiboko yake huko Insta anaitwa kichwapanziiii......yani akimtekenya Mange tu anakojowa!!

Hah hah hah hah Kichwa Panzi yeye hajui kama kuna fainali ya euro, wala hajui kuwa Bungeni Tundu Lissu kakinukisha....yeye anadili na Mange tu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…