Mange Kimambi vs Le Mutuz katika Beef Zito kisa Dr. Mwaka

Status
Not open for further replies.

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Haya sasa kumekucha instagram......Mzee wa degree 3 yupo katika mpambano wa hatari na Mkimama Mange Kimambi huko instagram kuhusu swala la Dr.mwaka

Naona mzee wa degree 3 anamtetea sana Dr.mwaka kwa hali na mali huku Mkimama wetu Mange kimambi Akimkosoa vibaya sana Dr Mwaka akidai elimu ake kapata Google!

Mzee wa degree 3 anaonekana sana kumtetea Dr.Mwaka hadi akaamua kumpigia simu Mange ili aache kile anacho kifanya kwani ana Contract inabido asign kwa Dr.Mwaka

Mange hajakausha kaamua Kumumbua Le Mutuzi kwa Kupost text zote alizotumiwa na kujibu

Baadae kidogo baba la baba Mtu munene Akajibu kuwa hizo ni text za kutengenezwa na akidai Mange kazitengeneza yeye hajawahi kumpigia simu Mange wala kuchat Nae ila anakiru kuwa Namba ni yake

Kabla hilo halijakaa sawa Mama la Mama Mange kimambi Akarudisha mapigo kwa kupost Video ikionesha kupitia Iphone ake anafungua app ya whatsapp then anaenda kwenye conversations anatafuta namba ya Le mutuzi Mara vuuu Aniona hii hapa Anaifungua na kuonesha kuwa kile alicho screenshot ni cha kweli pale hata mimi Naamini ile Conversation siyo ya kutengenezwa ni ya kweli

Baba la baba baad ya kuona hilo akajibu tena kwa majigambo

Najaribu kusoma Comment za watu insta kwa page ya Le mutuzi naona watu wamevurugwa wapo teari kama niblock wapigwe tuuu Ila wanadai Le mutuzi na Dr mwaka Nijibu na Mange analitumbua

Jamani siwezi kuelezea yote ila Kifupi ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu Le mutuz Kashikwa vibaya sana huko ingekuwa vita Angekuwa kashindwa

Mange pamoja kupelekewa dau la pesa lakini Kagoma kufuta post anasema anataka kuwatetea akina mama wote

Katishiwa uchawi lakini bado hebu nendeni huko insta mkaone

Mange Kaweka pia link inayo onesha elimu ya Dr Mwaka

http://www.ippmedia.com/frontend/?l=67245
 
Na hii ndo screenshot ikionesha conversation Kati ya Le mutuz na Mange alie anza kumtext Mwenzia ni Le king of all social Media then Mmarekani Toka Bongo Akajibu na kupost pia kuna video
 

Attachments

  • 1450137085490.jpg
    50 KB · Views: 6,580
Mange akionesha Block alio kula kutoka kwa Jamaa teh teh teh Hii vita mbna kama Mwanaume analemewa hadi anaamua Kumblock ila sisi wapambe wenye account Sita sita tutamfikishia ujumbe kile jamaa anacho post teh teh teh
 

Attachments

  • 1450137247815.jpg
    31.2 KB · Views: 5,919
Msamalia mwema Alie jitokeza kumshauri Mange lakini Mange kagomea kufuta post na kasema ukweli daima atausema
 

Attachments

  • 1450137367822.jpg
    40.5 KB · Views: 5,598


huyo Le Mutuz bado kuvalishwa sidiria tu..
 
Mange akionesha Block alio kula kutoka kwa Jamaa teh teh teh Hii vita mbna kama Mwanaume analemewa hadi anaamua Kumblock ila sisi wapambe wenye account Sita sita tutamfikishia ujumbe kile jamaa anacho post teh teh teh

Hahahaha,you are so me,mwenyewe Le mutuz aliniblock kisa siasa ila huwa namchabo kwenye acc yangu ya back up..😂😂😂
 
Uyu let mutuz miye aliniblock instagram hapendi challenge yeye kila afanyalo akaitaji makofi sasa akikutana na challenge huwa anapanic

Mwambieni hii inchi sasa haitaji ujanja ujanja
 
Le Mutuz ameanza kuisoma namba teh teh teh eti ana contract na huyo tapeli mwaka ....Dr. Mwaka ni tapeli tu hana lolote
 
Dr. Mwaka si kavamiwa na naibu waziri jana, wamekimbia wote yeye na wataalam wake. Kweli lisemwalo lipo, yule jamaa ni jipu. Ila ni dhambi sana ku-take advantage kwenye afya za watu.
 
Anayejiita Dr.Mwaka anawapata sana akina mama,anatumia udhaifu na machungu waliyonayo kuwaangamiza kabisaa yaani huyu jamaa ana dhambi sana. Kuna mama mmoja hapa jirani yangu hana hamu naye,alimpa dawa nyingi kama ndoo ya lita 20 eti ni dawa ya fibroid.

Niko kinyume kabisa na watu wanaojiita waganga pasipo elimu hiyo kama mzee wa Loliondo,dr. Ndodi,mama ateri nk,wanaupotosha umma kwa kiasi kikubwa.

Jamii ielimishwe iwakatae waganga hawa,kwa sasa huduma za afya zinaboreshwa mahospitalini na madawa yatapatikana.
 
Mange hajakausha kaamua Kumumbua Le Mutuzi kwa Kupost text zote alizotumiwa na kujibu
Sikumbuki ikiwa nimepata kuchangia posts zinazohusu malumbano ya Mange lakini kwa hilo hapo juu ni upumbavu uliopitiliza! Ingawaje professionally Le Mutuz hakutakiwa kumtetea Dr. Mwaka kv tu ni mteja wake lakini bila shaka kuwasiliana na Mange ilikuwa ni some kind of good will. Sasa inakuaje tena ana-expose message mtandaoni?

No wonder Vodacom wameacha ku-renew mkataba wake coz' hana communication ethics.
 
Alikanusha,alisema zimetengenezwa kumchafua
 

Mkuu,hivi unajua ukiwa na presha ya kukosa ulaji nini kinatokea???
 
Hahahahaha

Le big show

Babu yake kimnana

Amesarenda na kufuta posti yake aliyodai inasambazwa...

Hahahaha
Ruttashobolwa uneona mambo ya jirani yako?
Hahahahaha Uknw si shindwi mapambano ...uknw wakati nachukua degree ya pili Mange hakuwa na degree hata moja uknw...
Uknw mimi ni akili kubwaz uknw na ninaamini Dr mwaka anaonewa wivu uknw...!
Lemadebez tupu hawanisumbui..hahahahha
the king of all social network....
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…