Mange Kimambi vs Le Mutuz katika Beef Zito kisa Dr. Mwaka

Status
Not open for further replies.
Lemutuz mzee wa degree tatu, zisizo na ushirikiano. Huwa nikiwaangalia ndugu zake akina mwele, seche na yule marehemu ipyana huwa najikuta natoa machozi, huyu lemutuz ni umri wa kina jakaya huyu
 
Ina maana na ile video aloyoweka ambayo ina namba yako ni ya uongo?? Au kuna mtu alitumia simu yako??
 
Babu mbona ile screenshot yako ya msg uliyoitoa kwa Mange uliifuta baada mange kuweka video???

Mjini raha watu wanaishi kwa ufadhili u know

Achana kabisa na akili kubwa

Cc: Ruttashobolwa

Last edited by a moderator:

Atention Deficit Hyperactivity Disorder (ADHD),le big boss hebu fanya kugoogle hii kitu,alaf jifanyie tathmini unaweza kugundua kitu.
 
Babu mbona ile screenshot yako ya msg uliyoitoa kwa Mange uliifuta baada mange kuweka video???

Mjini raha watu wanaishi kwa ufadhili u know

Achana kabisa na akili kubwa

Cc: Ruttashobolwa
Hahahahahaha
Uknw lembebiz unajua mimi nina simu nyingi uknw levibakazi walikwapua simu yangu nakupost ujingaz uknw...

Uknw kwakuwa mimi ni mtaalamu wa mitandao na mawasiliano na nilisomea hivyo nimeshamjua uknw..
Nimeshawasiliana na mwanasheria wangu kwaajili ya kufungua case..!
Uknw Mange ni akili ndogo na mimi ni akili kubwaz hivyo siwezi kushughulika na debe tupuz uknw...

Uknw wakati nachukua degree zangu tatu nje ya nchi nilifunzwa na maprofesa wenye akili kubwa hivyo walinifunza kuwa handle akili ndogo a.k.a madebe matupu...

Uknw mimi ni akili kubwaz..kuna mwenye tatizo?
Hahahahahahahaha
The king of all social network...
 
Last edited by a moderator:
hata mimi nilivyosoma hiyo screen shot ya msgs hazijakaa kama le mutuz ndiye kaandika maana anavyoanfika siyo kama hivyo.
 
Lemutuz mzee wa degree tatu, zisizo na ushirikiano. Huwa nikiwaangalia ndugu zake akina mwele, seche na yule marehemu ipyana huwa najikuta natoa machozi, huyu lemutuz ni umri wa kina jakaya huyu

Unaweza kuwa na degree hata kumi lakini hukawa not competent to deal with issues au to apply the knowledge and make the difference, mtu msomi utamjuwa tu u dont need to ask, sasa huyu le mutuz degree tatu but degree zake zimemfanya substandard,na kwa kauli yake hii he is completely used by mwaka to seize the situation,i wounder why he came up nakumsafisha hivyo huyu fake dr mwaka wakati soon his fake professional medical caree will be proven wrong and so do le mutuz
 
Hahaaaaaaa uwiiii we rutta wewe
 
hata mimi nilivyosoma hiyo screen shot ya msgs hazijakaa kama le mutuz ndiye kaandika maana anavyoanfika siyo kama hivyo.

Hahahahhahaha
uknw wewe ni genious..
Uknw akili ndogo wana hangaika kudhani ni mimi uknw...
Uknw watu wachache wenye akili kubwa kama wewe ndio wanaweza kujua haya!

Uknw wewe ni akili kubwa kama mimi lazima nikupe zawadi nina sinu nilipewa na huwawei tukutane double tree nikupe..

Uknw..mimi ni mtu maarufu sana na leo hii kupitia hii post nimepata deal la pesa..
Uknw nawashukuru sana..

hahahahahaha !
le big show..
 
You made my day mkuu yani nimejikuta nacheka sana hadi nasahau kero iliyosababishwa na mvua leo...
 
Miziki wa Mange Mkubwa... Jitu kubwa akili fupi kafyata mkia!
 
Hahahahahaa naona keshajibu 'Nonsense'....
Ngoja niendelee kucheka.
 
Le mutuz ni akili fupi sana...mi nashangaa wanomsifia huyu kubwa jinga..yaani hua linakurupuka likidai ni facts ukilichallange kidogo linakublock..limezoea akili mburulaz kulisifia tu.
Kuna jamaa yangu huku bleiz aliwahi kumuambia kuwa abadilishe pose, kila akipiga picha mikono iko kifuani,hazikupita hata dakika 5 akakuta keshablokiwa.
Ndio maana followers wake hawaongezeki,mimi huwa namsoma kimyakimya tu.
 
Last edited by a moderator:
Lemutuz mzee wa degree tatu, zisizo na ushirikiano. Huwa nikiwaangalia ndugu zake akina mwele, seche na yule marehemu ipyana huwa najikuta natoa machozi, huyu lemutuz ni umri wa kina jakaya huyu
Hahahahaaa uwiiiiii
 
Uyu let mutuz miye aliniblock instagram hapendi challenge yeye kila afanyalo akaitaji makofi sasa akikutana na challenge huwa anapanic

Mwambieni hii inchi sasa haitaji ujanja ujanja

JF Sisi tutakuwa Wa kwanza kublockiwa hahaha Hatumtaki
 
Ina maana na ile video aloyoweka ambayo ina namba yako ni ya uongo?? Au kuna mtu alitumia simu yako??

- Namba yangu ya simu ipo kila mahali kwenye Social Media alichokifanya ni rahisi sana kwa dunia ya sasa, wapo watu wengi wengine mpaka wana vicoba kwa kutumia namba na jina langu, kumpigia sijawahi hata kuongea naye in my life nashangaa sana na all alichokifanya

le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…