Mange Kimambi vs Le Mutuz katika Beef Zito kisa Dr. Mwaka

Mange Kimambi vs Le Mutuz katika Beef Zito kisa Dr. Mwaka

Status
Not open for further replies.
- Nilidhani ataweka ushahidi wa Majizo kuuza unga like alivyosema Hekalu la Majizo lipo Kigamboni, lakini hamna badala yake imekuwa apartment ya Juma Pinto hahahahahahaha

le Mutuz
hahaha eti ule mzigo wa rizwani ulikuwa nini?
 
Kweli huyu jamaa ana akili sanaaaa (le mutuz )na nawez sema anaweza kuwa ni miongoni mwa watu maaruf sn sn sn .. Tanzania ameweza kuwa study wa tanzania sn ,hebu tazama hii mada haina hata saa 1na nusu angalia ilivyo changiwa na watu wanao penda udaku i slut you bro
 
huyu kaka huwa namkubali kwa jambo moja, huwa ana uwezo mkubwa wa kumeza hasira, wengine nyuma ya hizi id feki tukitukanwa siku inakuwa chungu!
nampenda sana le mutuz life style yake yaani...halafu huyu mange ni mtoto wa hiari wa dadake le mutuz eti hivi unawezaje kumtukana mjomba wako hivo?
 
Huyu Jamaa kidogo tu anakwambia ana degree tatu halafu kwenye uchafu wa degree zake anaweka moja ya engineering....hivi anafikiri kila mtu anakuwa mhandisi...anafikiri uhandisi kama vile kwenda posta na mabasi ya mwendo kasi inabidi wahandisi...watu tumeteseka kupanda halafu yeye anataja kama mlevi wa pombe za kienyeji
 
Sasa mkuu ebu mpe hizi fact yule kichaa aache kupakazia watu... Naona amekuandama sana tangia ishu ya Dr. Mwaka

- hahahahahahaha haniandami ila ananisaidia tu kunipaisha hakuna jipya alilolisema yale yale ila hakuweka Ushahidi wa Jengo la Majizo Kigamboni cause halipo hilo tu ndilo la msingi, niliingia kumtetea Majizo and kwenye hilo nilifanikiwa 100% that is all important

le Mutuz
 
Le Mutus kapiga picha akiwa kwenye apartment akai-upload insta akidai ni yake! Jaribu kusoma ''kichambo'' alichoshushiwa na Mange ili uzidi kuunganisha vile vi-dots vyako:mangekimambi_ Eti apartment yake... Jiheshimu wewe!!!! Una hela ya kununua apartment downtown wewe??Apartment ya Juma Pinto. Juma anazo apartment mia Kidogo mjini hapo . Anazigawaga Kama karanga . Zingine ziko vacant hazina mtu. Nna rafiki yangu alitafutiwa moja na huyo huyo Juma. Mwingine namjua na yeye kapewa bure na Juma anakaaaa Ila siku Juma akiitaka apartment yake anaondoka. Ila Mwenzio ni mwanamke ...Najua nachokiongea wewe usidhani nabahatisha.

Eti apartment yako Embu rusha contract ya kununua. Wewe hizo apartment mtu akifatilia NHC anajua aliuziwa nani na anayo nani. Jiheshimu utaumbuka zaidi. Mali uliyonayo dunia hii ni nyumba ya kinyerezi ambayo umejenga na mkeo Kwa Hiyo wala sio yako peke yako ni yako na ex wako tena ina jina la Watoto Kwa Hiyo hata sio yako vile vile na ulivyo Le Mburulaz mmejenga nyumba kwenye kiwanja cha kupewa na wazazi wa mwanamke.

Yani nyumbani Kwao . Sasa mke mmeachana nyumba iko Kwao. Kazi ipo .....We jiteteeee mpaka uchoke Ila watu wa mjini kibaoooo wanajua apartment ni ya Juma Pinto. Nyoooo ulidhani Siri?? .... Sikuona haja ya kukuuumbua kustiriwa na mwanaume mwenzio sababu ni Maisha tu Ila ukaona unichokonoe mpaka nikusemeee mbovu ...

Haya jieleze hapa mbele ya kadamnasi kilichokupeleka South Africa ukapokelewa airport na Kinje Ngombale Mwiru na ukawa na Kinje 24 hrs huko SA ( bado sijapata confirmation Kama ulifikia Kwa Kinje Au Kama ulikaa hotelini) ulienda South Africa April 17 2016 na ukarudi Tanzania April 19 2016, uliingia Dar usiku so ukaenda home ukalala mchana wake ukawahi Msoga kwa Ridhwani na Mzigo. Mzigo gani?? Mi sijui.

Mnajua wenyewe.Na Ueleze mbele ya kadamnasi kilichokufanya usirushe mipicha Picha ya safari Au ukiwa South Africa?? Kwa nini ulifanya Siri Safari ya South Africa na wakati wewe ni mtu wa show off??? Why kimya kimya ????? Wakati wewe ni mtu wa kujijaza insta utasema demu??

Usidhani kwa vile sikutumbuagi labda sijui issue zako ndo unaanza kunizoea mpaka matakoni. Nilikuwa nakustahi kindugu ndugu Ila wewe hutaki tuheshimiane...
Asse!!!
 
Huyu Jamaa kidogo tu anakwambia ana degree tatu halafu kwenye uchafu wa degree zake anaweka moja ya engineering....hivi anafikiri kila mtu anakuwa mhandisi...anafikiri uhandisi kama vile kwenda posta na mabasi ya mwendo kasi inabidi wahandisi...watu tumeteseka kupanda halafu yeye anataja kama mlevi wa pombe za kienyeji

- sidhani hata kama unajua ulichokiandika pole sana mimi sio size yako mkuu level nyingine hii sawa mkuu hahahahahahah

le Mutuz Nation
 
- sidhani hata kama unajua ulichokiandika pole sana mimi sio size yako mkuu level nyingine hii sawa mkuu hahahahahahah

le Mutuz Nation
hahaaa le mutuz akuache kabisa wahandisi wa kibongo wanywa gongo tu ...wanajaza BOQ wapo ndii mfuko wa cement wanaandika elf 30 contract sum mrad wa m 200 wao billioni 3 muulize magufuli wahandisi ni wachina bna bongo hakunaga
 
....limempata daaadeki hahahahaa mzee wa ngada, riz moko....
 
- sidhani hata kama unajua ulichokiandika pole sana mimi sio size yako mkuu level nyingine hii sawa mkuu hahahahahahah

le Mutuz Nation
Le Mutuz mbona haujatangaza nafasi za kazi kwenye kampuni zako? Ingependeza walau ukapata wafanyakazi wawili ambao ni die hard fans wako..
 
- sidhani hata kama unajua ulichokiandika pole sana mimi sio size yako mkuu level nyingine hii sawa mkuu hahahahahahah

le Mutuz Nation

Siwezi kuwa level yako sababu una vyeti fake aisee.huwezi kuwa mhandisi aisee yule dada kichwa maji lakini amekwambia ukweli..tatizo mkuu unakuwa muongo unakosa kumbukumbu vipi PhD umeshaanza kuandika papers?
 
- hahahahahahaha haniandami ila ananisaidia tu kunipaisha hakuna jipya alilolisema yale yale ila hakuweka Ushahidi wa Jengo la Majizo Kigamboni cause halipo hilo tu ndilo la msingi, niliingia kumtetea Majizo and kwenye hilo nilifanikiwa 100% that is all important

le Mutuz

Hahahahahaha atasema nyumba ya majizo ukipiga picha haionekani
 
Le Mutuz mbona haujatangaza nafasi za kazi kwenye kampuni zako? Ingependeza walau ukapata wafanyakazi wawili ambao ni die hard fans wako..

- hahahahaha sasa hivi hatuhitaji wafanyakazi ila labda kwenye Radio na TV soon tutaanza kuajiri so relax and stay tuned

le Mutuz
 
- hahahahaha sasa hivi hatuhitaji wafanyakazi ila labda kwenye Radio na TV soon tutaanza kuajiri so relax and stay tuned

le Mutuz
Kuna mbongo ana MBA na uzoefu wa mitandao ya jamii, mfikirie apate kibarua hapo ofisini kwako labda matusi mitandaoni yatapungua.
 
Ingawa huyu jamaa siyo fan wake, lakini kwa hili la kubeba unga nina 99% watakuwa wanamsingizia.

Haiingii akilini kuwa TZ ni nchi ambayo unga (Cocaine & Heroin ) unauzwa kwa bei rahisi sana kuliko South Africa, then mtu aende South Africa kufuata Heroin alete Tanzania. What for.?

Hapa ni kudanganyanaa na kuchafuana.
 
- hahahahahahahaha siku nikiuza unga labda niwe nimekufa tayari maiti yangu ndio itauza unga as long as I live never, na wala haijawahi na haitakuja kutokea so wala sio ishu kabisa kwangu hahahahahahaha

le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom