Mange Kimambi yuko sahihi, Familia haimtaki Mwigulu 2030?

Mange Kimambi yuko sahihi, Familia haimtaki Mwigulu 2030?

Spadino

Member
Joined
Mar 17, 2026
Posts
8
Reaction score
97
Tutafakari pamoja wanajamvi!

Mange, ameongea kwa mara ya pili habari ya familia kutokumtaka Mwigulu 2030. Kuna habari za uhakika kutoka ndani na marafiki ni kwamba urafiki wa Mwigulu na Mtoto wa nyumba kubwa mwenye ushawishi kwa Mamlaka na familia ulishakufa. Mtoto na familia walishapata mtu mpya wa kwenda naye 2030.

Sababu kubwa ni hofu ya misimamo yake kufananishwa na ya Magufuli. Aliyetengeneza kitisho alisema Mwigulu ni mtu wa Bara, Mtanganyika kama anavyoitwa. Imetajwa kwamba akiachwa akapenya 2030, atageuka Magufuli kwa kuwa anajua sana Mambo yote ya Serikali.

Ndio maana suluhisho la kwanza ilikuwa alishwe sumu afe, akanusurika. Akapewa ndege mbovu iliyotua kwa dharura baada ya kupaa, akanusurika. Ikaonekana atengenezewe kashfa ya ngono ya AI ili afe kabisa Politically, nalo likashindikana.

Inasemekana alipokataa kujiuzulu, vyombo viliingilia kati asifukuzwe uanachama kwa kuwa Nchi itayumba.

Kwa kifupi, Mwigulu achukue tahadhari sana ya Maisha yake.

@mods msifute huu uzi wala kuunganisha
 

Attachments

  • 200.mp4
    7.6 MB
Hakika wamatumbi wasio na akili kama huyo jamaa ni mzigo katika manufaa ya nchi hii.


Wenye akili woote aliamua kujiengua kabisa, kutoka katika uchafu unaendelea,

Watu kama wakina mpango, nchimbi, na majaaliwa... Hawa walijua kabisa they'd rather stay away kuliko kushiriki katika kuharibu taifa, na ulafi wa madaraka
 
Acheni kutupanga bhana, Yan 😂 Nchi iyumbe kisa madevu ?.
 
Huyu dada lile nyonyo limeenda wapi.!? Mbona kakonda hivi
 
Huyo huyo fisadi Mwigulu aliyezunguka nchi nzima akisema Watanganyika walipewa pesa ili kudai haki zao??

Huyo hafai kabisaa
 
Nyamitako ndiye mrithi wa Mwigulu. Hawa wajinga hadi kufika 2030 watakuwa wameumizana sana, sisi kazi yetu ni moja tu, kuchochea huu moto uzidi kuwateketeza hadi yabaki majivu tu.
 
Yani mwegulue awe kama jiwe? Labda la kuchonga! Hana impact zaidi ya skafu tangu tumemjua! Ana alama gani alishawahi kuweka na wapi zaidi na kushiriki uuaji wa uchaguzi miaka yote?
 
alishwe sumu afe, akanusurika. Akapewa ndege mbovu iliyotua kwa dharura baada ya kupaa, akanusurika. Ikaonekana atengenezewe kashfa ya ngono ya AI ili afe kabisa Politically, nalo likashindikana.
Ngoja wanyoshane kidogo...


Cc: Mahondaw
 
Huyo wamtendee lolote hatujali.
Aliungana na wahuni kuwatuhumu na kuwadhihaki watanganyika waliouwawa na wahuni.
Hakuna ushirika wa wahuni unaodumu.
Siwapendi wote wa Chama chao lkn Mwigulu akipatikana kwenye msako wao wa wenyewe kwa wenyewe nitakua mwenye furaha Sana.
Ili iwe fundisho
kwamba wote wnatakiwa wawe uoande wa haki wa wengi.
Mwigulu amesababisha maumivu kwa wapinzani wengi Sana.
 
Back
Top Bottom