Mange Kimambi yumo humu JF....

baba yao aliwapeleka watoto wake shule nzuri miaka hiyo ila hakuna walichokipata bora sisi tuliosoma st kayumba mafanikio tumeyaona ila mange kuhusu shule anyamaze tu ndo laana inamsumbua kuchezea nafasi ya elimu bora
Mwenzio anakula life kwa papaa Trump mzee wa Trump Force One
 
Uhuru wa maisha ya mtu yasiwe na kipingamizi cha kutowa maoni au kuonya hadi awe mshiriki wa hicho kitu.
 
Ila yeye maisha yake ni mazuri,elimu kitu gani
 
baba yao aliwapeleka watoto wake shule nzuri miaka hiyo ila hakuna walichokipata bora sisi tuliosoma st kayumba mafanikio tumeyaona ila mange kuhusu shule anyamaze tu ndo laana inamsumbua kuchezea nafasi ya elimu bora
Acha uongo mbuzi wewe unajifanya unajua sana watu na chuki zako za kizeeee
 
usitafute kiki kupitia mimi wewe .huna hadhi ya kuongea na mimi na kukuthibitishia hilo sikujibu tena nakuignore
mbona mwandiko wa vanenesa ni kama wa mange hahahah mange bhana ngoja kwanza nikasome alichoandika bila kupita kule najihisi kupungukiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…