mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
hayo ni matusi kwa wazazi wengi wanaowapeleka watoto wao st Kayumba (SHULE za kata), si kwa sababu ni wazembe ila kwa sababu ndio uwezo wao kwa wakati huo!unafurahia uzembe wa baba ako kukupeleka st.kayumba?...baba ake mange alisimamia nafasi yake kama baba kuhakikisha wanae wanasoma shule nzuri na wanatambua mambo yanavyoenda...we una kazi yakuponda tu...ndo mana st.kayumba zako zimekufanya uwe mjinga usijue mambo ya nchi yako yanavyoenda....bora huyo mange anaeongeaga point kuiokoa nchi
Tafadhali weka akiba ya maneno maana maisha ni safari ndefu!!!