Mange Kimambi yumo humu JF....

Mange Kimambi yumo humu JF....

Mange nampenda sana ,,angekuwa Tz na ningekuwa na hela ningemuoa yule mdada!! Nampenda sana na kama akisoma hii comment alijue hilo!! Vile tu cjui jins ya kuongea nae!! Mange I love you so much
 
Nakiri kua mengi tumeyajua kupitia mange,na kuna jitihada kubwa zinafanywa kumnyamazisha,mi namuombea kwa mola aendelee kumlinda tuendelee kupata yale yanayofichwa na kina fulani japo nae ana mapungufu yake.
 
maisha binafsi ya watu
 
Yumo ila kwa sasa hawezi kuja humu kwani anauguza vidonda vya kuachwa pia anatafuta kibabu kingine cha kizungu kimtunze.

Hamna jipya kila siku kaachwa kaachwa , aliachwa mama ako mbona we bado unaishi? Maisha si lazima ndoa tu, kuna masingle mother wangapi mtaani wanaishi tu kwa raha zao na wanalea watoto wao?

Mange kila siku anawajambisha na skendo mpya nyie mmekazana tu ameachwa kama yeye ndo wa kwanza
 
Fekero la mange hili [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mange hana mkopo yule aliishia la saba elimu yake kaunga unga sana ana certificate ya uarabuni ya sayansi kimu
Acha ukuda wewe nange ana bachelor degree tena sio ya kuunga kasoma Udi na kakaa mabibo hostel
 
Nina mashaka na chanzo chako cha taarifa. Mange Kimambi amesoma UDSM kiwango cha shahada ya kwanza(Bachelor degree) miaka 2002 hadi 2006 hapo katikati. Kuna watu wamesoma nae humu watakuja kutuambia exactly alisoma lini na kozi gani kwa miaka mingapi.
Huyu Natafuta anatafuta kufahamika tu hapa jukwaani kwa kuongea asivyovijua!
 
baba yao aliwapeleka watoto wake shule nzuri miaka hiyo ila hakuna walichokipata bora sisi tuliosoma st kayumba mafanikio tumeyaona ila mange kuhusu shule anyamaze tu ndo laana inamsumbua kuchezea nafasi ya elimu bora
Muwe mnaongea vitu vya uhakika. Mange amesoma degree mpk masters.
 
Ushahidi,degree alisomea wapi?
kasoma ingia kwenye page yake utaona kabandika aliposomea na mayokeo yake kama unamchukia sawa lakini usilazimishe mambo ya uongo maana haikusaidii wala haitabadilisha matokeo yake wala elimu yako
 
Baadhi Ya post zenu humu mm ctii neno. Yarakayowakuta msilalamike
 
Ushahidi,degree alisomea wapi?
Alianza degree ya computer science RMIT university Australia (in colaboration with UDSM) baada ya mwaka akaacha akasomea Business administration chuo kingine cha huko huko Australia sikumbuki jina lake. Lakini 100% degree anayo. Masters alisomea dubai anajua mwenyewe chuo alichosoma. Lakini kuhusu degree nina uhakika asilimia zote.
 
Aseee huyu mdada hatari, karibia robo mwaka sasa anazungumziwa yeye

Natamani agombeee uraisi wa dubai
 
Back
Top Bottom