kasoma ingia kwenye page yake utaona kabandika aliposomea na mayokeo yake kama unamchukia sawa lakini usilazimishe mambo ya uongo maana haikusaidii wala haitabadilisha matokeo yake wala elimu yako
Alianza degree ya computer science RMIT university Australia (in colaboration with UDSM) baada ya mwaka akaacha akasomea Business administration chuo kingine cha huko huko Australia sikumbuki jina lake. Lakini 100% degree anayo. Masters alisomea dubai anajua mwenyewe chuo alichosoma. Lakini kuhusu degree nina uhakika asilimia zote.
Ni mimi umeniuliza. Angalia post namba 332. Uwe mstaarabu kidogo hapa tunatoa hoja, acha kiherehere cha kujibu post bila kuangalia. Ni nani uliyemuuliza?Viherehere wengi humu, au ndo mambo ya fake ID's. Nasubiri jibu la mhusika niliyemuuliza
Na wewe ndio ulinijibu post niliyokuwa namjibu miss natafuta. Sijaquote post yako, wewe ndio umequote ya kwangu. Ni vipi tena unaniambia nina kiherehere?Viherehere wengi humu, au ndo mambo ya fake ID's. Nasubiri jibu la mhusika niliyemuuliza
id ninayo moja tu...........Ina maana ile post niliyoijibu ni ID yako?
Na wewe ndio ulinijibu post niliyokuwa namjibu miss natafuta. Sijaquote post yako, wewe ndio umequote ya kwangu. Ni vipi tena unaniambia nina kiherehere?
Angalia similarity katika style ya uandishi wao..
Bora umesema aisee. Nilishamwambia huyu dogo Numbisa , kuwa aache kuchafua nyuzi. Kiherehere tu utazani _____Ni mimi umeniuliza. Angalia post namba 332. Uwe mstaarabu kidogo hapa tunatoa hoja, acha kiherehere cha kujibu post bila kuangalia. Ni nani uliyemuuliza?
Kila mtu ana Fake ID.
Ni mimi umeniuliza. Angalia post namba 332. Uwe mstaarabu kidogo hapa tunatoa hoja, acha kiherehere cha kujibu post bila kuangalia. Ni nani uliyemuuliza?
Kila mtu ana Fake ID.
Bora umesema aisee. Nilishamwambia huyu dogo Numbisa , kuwa aache kuchafua nyuzi. Kiherehere tu utazani _____
Hamna jipya kila siku kaachwa kaachwa , aliachwa mama ako mbona we bado unaishi? Maisha si lazima ndoa tu, kuna masingle mother wangapi mtaani wanaishi tu kwa raha zao na wanalea watoto wao?
Mange kila siku anawajambisha na skendo mpya nyie mmekazana tu ameachwa kama yeye ndo wa kwanza
Mange Ana mwanaume na soon anaolewa tena we baki kuwasimulia wenzio uongo tuu jf
Kama unamfatilia mange vizuri basi utajua kama Ana mtu au vipi acheni wivu wenu wakipumbavu
Ila me nlichomsoma hamanishi yeye huwa anasema vitu kwa niaba yaASEME ALIPEWA MKOPO KUSOMA CHUO GANI
Mimi ni mwanamme, sina wivu na Mange na wala hanisisimui kwani she's too fake for my liking na ile miguu ya chelewa pamoja na maziwa bandia, ndiyo kabisaaaa.
povu lote la nini? Ukweli mchungu ee! Ukiona mchungu sana kunya nazi...kibwengu ww.Kisebengo kibobori hujaitwa huku na mwenye uzi hajaja kukulalamikia,mwanaume mbea unahangaika kama panya mwenye mimba looh shame upon u.
Aiseeepovu lote la nini? Ukweli mchungu ee! Ukiona mchungu sana kunya nazi...kibwengu ww.
Hiyo inaitwa Royal "we".
Madongo yake yote hua anayapata....
Fake ID zinawalinda.hahaaaaaa mange ni level nyingine tena msimjaribu mtachambwa mwaka na miezi nane mwacheni awatoe mnyaa maana mmezoea