Mange Kimambi yupo obsessed na Diamond na familia yake kwa ujumla

Utashawishiwa kuandamana na MATATIZO yako wala siyo MANGE KIMAMBI, ni suala la muda tu.

Kwa sasa JIWE kakaba mpaka mnaishi kama digi digi, mmebakiza kuimba ASIFIWE JIWE ASIFIWE huko MAKANISANI na MISIKITINI.
Teh teh mkuu naona stress zako za kuimba #Kazi na bata unazihamishia kwangu,pambana na hali yako chief.

2020,Lissu all the way.
 
Wadau tunakumbushana tu amebakiza siku 23 tu - By Sheikh Alhad
 
she is insane....wajinga tu ndio bado wanamsoma.
 
Hawa ndo w
Anaoyuchagulia viongozi
 
Huyo mange Hana akili Ana wivu kwa maendeleo ya watu tofauti yake na shetani ni ndogo tu shetani haonekani but yeye anaonekana kwa macho lakini wote ni mashetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…