Mange Kimambi yupo obsessed na Diamond na familia yake kwa ujumla

Bila zari celebrity haina mzuka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Na kuwaita wenzie Cheap nini sijui.. Mara akamlipie Bill ya umeme. Na wabongo walimtahadharisha. Sasa hivi kabaki na aibu zake.
Yeye mwenyew ni cheap ,ndo maana hajiamini picha mpaka aziedit weeee na kila saa kuonyesha kitovu nje dooooh!!!! Akitaka classy ajifunze kwanza staha
 
Outa here[emoji126][emoji126] nshakutanisha mashost watatu thats numby's job.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Idumu JF[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anajiedit hadi anafanana na Mapazia na ukuta. Havieleweki... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeye mwenyew ni cheap ,ndo maana hajiamini picha mpaka aziedit weeee na kila saa kuonyesha kitovu nje dooooh!!!! Akitaka classy ajifunze kwanza staha
 
Outa here[emoji126][emoji126] nshakutanisha mashost watatu thats numby's job.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Idumu JF[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tumeshakupotezea.. tafuta wenye akili kama zai muendelee. Badala ya kujibu hoja unaanza kushambulia watu. Na kuleta vitu usivyoulizwa. By Felicia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duuh ,ha ha ha ha hivi zile kiki za watu kumtumia shida ,na matatizo ya yao.kuwa afiche I'd zimeishia wapi
 
Tumeshakupotezea.. tafuta wenye akili kama zai muendelee. Badala ya kujibu hoja unaanza kushambulia watu. Na kuleta vitu usivyoulizwa. By Felicia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na kashapoteza mvuto
 
Walimnyoosha kisawa sawa hivi na umri ule akainvest kwa domo kijana mdogooooo ......bora hata angetarget wa umri wake wangeheshimiana !!!
She wanted fame akapata na stress juu
Ange invest kimya kimya na sio kuchamba watu. Mbona angefika mbali tuu yy akaanza kuleta nyodo ninyodoe
 
Aiseee kama umenipotezea mbona umenijibu sasa. Hamjanipotezea ila mnaniogopa by Esther[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Back
Top Bottom