Mange kufungiwa namba ya whatsapp kutapunguza sana ueneaji wa video na picha za matukio ya D9

Mange kufungiwa namba ya whatsapp kutapunguza sana ueneaji wa video na picha za matukio ya D9

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Mange alikuwa anafowadiwa matukio mengi kwasababu alipatikana whatsap.

karibia kila mtu mwenye smartphone kajiunga whatsapp, wachache wapo instagram, wachache zaidi wapo X.

Wenzake kina Hilda, Sativa, Maria n.k. hawaweki hadharani namba zao za whatsapp, hutegemea zaidi Instagram na akaunti hizo hufungwa mara kwa mara au kudhibitiwa.

Kufungiwa kwa namba ya Mange siku chache kabla ya maandamano sio jambo la kawaida; kunaonekana kama jitihada za kuzuia usambazaji wa taarifa za D9.

Wakati wa MO29, Mange ndiye aliyekuwa anafowadiwa videos nyingi sana na kuzisambaza moja kwa moja au kupitia kurasa nyingine. Hata zile videos zilizotrend zaidi zilitoka kwake.

Kwa sasa, kufungwa kwa namba yake whatsapp kutapunguza sana mtiririko wa taarifa za D9.

Kafungiwa na instagram, itakuwa vigumu kutangaza hata namba mpya ifikie wengi, akiiweka X ni wachache wataiona
 
Namba ya whatsapp ya Mange kufungiwa tena siku chache kabla ya maandamano zilikuwa ni hesabu kali zilizopigwa kupunguza coverage lwa yatayotokea D9

MO29 watu wengi sana walikuwa wanamfowadia Mange video, yeye anazipost au kuwafowadia watu wengine wenye account za matukio, hizi videos tunazoona nyingi sana supplie mkuu ni Manhe Kimambi.

watu wengi waliokuwa na videos wanamuamini zaidi mange kimambi kuzisambaza kwa usiri bila identity zao kuonekana,

Kufungwa kwa namba yake ya whsatapp na hadi sasa hana namba kutapunguza sana kuyaona matukio ya D9
Kivipi wataposti wengine
 
kwani Whatsapp ndio imetengenezwa yenyewe hakuna sehemu nyengine.
😁 Yani mnatumia nguvu kumtetea Chizi mnywa damu.
 
kwani Whatsapp ndio imetengenezwa yenyewe hakuna sehemu nyengine.
😁 Yani mnatumia nguvu kumtetea Chizi mnywa damu.
Ili video ionekane na wengi inabidi isambazwe na watu wenye followers wengi, kinara ndie huyo Mange anayetumiwa videos kibao.
 
soldierboydrksoldierboydrkMmeuwa watu elfu 23 plus,unakibuli gani cha kuongea hivyo??,mmezika miili ya wapendwa wetu kama kuku waliokufa na kideli,bado mkawanyima watu kuzika miili ya wapendwa wao,mkapola uchaguzi,bado mnateka,mnabaka,mnalawiti,mnafira na mnauwa,hivi nyinyi ni wanyama au majini??
 
Mbona alishatoa namba yake mpya ya WhatsApp .

Pia kuna namba ya nyingine ya Maria Sarungi.

Au watu wamejiaminisha kisa Mange kufungiwa ile namba ndio go ahead ya kufanya ya gizani, basi wajiandae tena kuanikwa kwa ulimwengu wa sasa taarifa zinasambaa kwa njia nyingi tu.
 
‎Wanachofeli Gen Z.
‎
‎1.Kupata silaha za moto hapa mtakuwa mmemaliza mzizi wa fitina na hili litakokea kama kutakuwa na mgawanyiko jeshini na WA kina tesha watokee wagawie wananchi silaha.
‎
‎2.choma majengo yote ya wizara,hifadhi,migodi,Kambi za jeshi,CCP,bandari,Ikulu zote,vituo vikuu vya Kila mkoa.kimara pale choma mitambo yote ya Tanesco choma mawasiliano Treni ya umeme piga kiberiti ,
‎Ma generator ya bwawa la Nyerere piga kiberiti ,


‎
‎3.mimi nikishapata AK 47,72au 102 na SMG namalisha ishu zote
 
Mbona alishatoa namba yake mpya ya WhatsApp .

Pia kuna namba ya nyingine ya Maria Sarungi.

Au watu wamejiaminisha kisa Mange kufungiwa ile namba ndio go ahead ya kufanya ya gizani, basi wajiandae tena kuanikwa kwa ulimwengu wa sasa taarifa zinasambaa kwa njia nyingi tu.
Kumbuka kafungiwa na Instagram, hivyo namba yake mpya kuitangaza kwa X, mtandao wenye watembeleaji wachache.
 
Mtu anaweza kurekodi matukio gizani akasubiri mwanga, hata kama itachukua wiki atarusha tu
 
Mange alikuwa anafowadiwa matukio mengi kwasababu alipatikana whatsap.

karibia kila mtu mwenye smartphone kajiunga whatsapp, wachache wapo instagram, wachache zaidi wapo X.

Wenzake kina Hilda, Sativa, Maria n.k. hawaweki hadharani namba zao za whatsapp, hutegemea zaidi Instagram, akaunti hufungwa mara kwa mara au kudhibitiwa.

Kufungiwa kwa namba ya Mange WhatsApp siku chache kabla ya maandamano sio jambo la kawaida; kunaonekana kama jitihada za kuzuia upelekaji wa taarifa za D9.

Wakati wa MO29, Mange ndiye aliyekuwa anafowadiwa videos nyingi na kuzisambaza moja kwa moja au kupitia kurasa nyingine. Hata zile videos zilizotrend zaidi chanzo ni Mange.

Kwa sasa, kufungwa kwa namba yake whatsapp kutapunguza sana mtiririko wa taarifa za D9, kwani alikuwa akifikiwa kwa maarufu na rahisi zaidi.
Ndiyo unatakiwa uzibe pengo lake.
 
Kufunga mitandao ya kijamii ya mange sio suluhisho la tatizo
Viongozi wasikilize wanannchi
Watanzania kwasasa hawanunui woga na vitisho
Solidarity forever
 
Kumbuka kafungiwa na Instagram, hivyo namba yake mpya kuitangaza kwa X, mtandao wenye watembeleaji wachache.
Ngoja nikupe hii tip.

Tiktok ulikua ni mtandao wa maudhui ya ngono kwa wingi kwa watumiaji wa Tanzania ulipigiwa kelele na serikali haikuwahi kufikiria kuifungia.

Instagram ilikua jukwaa la udaku na hata serikali haikupata pressure kule maana ndio vitu serikali inapenda watu wafuatilie.

Mwezi May walipofungia X , watu wa kule hasa Sativa alikua anachukua screenshot za kule anapeleka kule Instagram ambayo kimaudhui haikua jukwaa kuu la siasa upepo ukabadilika zile screenshot kutokana na wingi wa watumiaji wa Instagram na Tiktok kwa pamoja wakaanza kuzipeleka Tiktok kule upepo ukabadilika likageuka jukwaa la siasa na hadi zile live za bunge la wananchi zikaanza jukwaa likabadilika hata maandamano ya October 29 yalikua live streamed kule na tunavyoongea leo kwa watumiaji wa Tanzania Tiktok walifungiwa kuipata hadi wawe na VPN.

So kwa mtindo huo huo hiyo namba ya Mange itavuka mipaka na kuwafikia watu na hata ikishindikana tulishamshauri atumie Signal ni nzuri kuliko WhatsApp.

Ndio maana huko serikalini nasema wamejaa vilaza sababu hawawezi kugundua namna kufungia kitu kimoja kunasababisha attention watu kujua kwanini kimefungiwa na watataka kudadidisi nini kinaendelea.
 
Back
Top Bottom