Kivipi wataposti wengineNamba ya whatsapp ya Mange kufungiwa tena siku chache kabla ya maandamano zilikuwa ni hesabu kali zilizopigwa kupunguza coverage lwa yatayotokea D9
MO29 watu wengi sana walikuwa wanamfowadia Mange video, yeye anazipost au kuwafowadia watu wengine wenye account za matukio, hizi videos tunazoona nyingi sana supplie mkuu ni Manhe Kimambi.
watu wengi waliokuwa na videos wanamuamini zaidi mange kimambi kuzisambaza kwa usiri bila identity zao kuonekana,
Kufungwa kwa namba yake ya whsatapp na hadi sasa hana namba kutapunguza sana kuyaona matukio ya D9
Ili video ionekane na wengi inabidi isambazwe na watu wenye followers wengi, kinara ndie huyo Mange anayetumiwa videos kibao.kwani Whatsapp ndio imetengenezwa yenyewe hakuna sehemu nyengine.
😁 Yani mnatumia nguvu kumtetea Chizi mnywa damu.
Hao wengine wengi hawajaweka namba zao za whatsapp hadharani, njia wanazotumia ni X, account zao za mitandao mingine kama instagram zinafungwa kila kukichaKivipi wataposti wengine
Kumbuka kafungiwa na Instagram, hivyo namba yake mpya kuitangaza kwa X, mtandao wenye watembeleaji wachache.Mbona alishatoa namba yake mpya ya WhatsApp .
Pia kuna namba ya nyingine ya Maria Sarungi.
Au watu wamejiaminisha kisa Mange kufungiwa ile namba ndio go ahead ya kufanya ya gizani, basi wajiandae tena kuanikwa kwa ulimwengu wa sasa taarifa zinasambaa kwa njia nyingi tu.
Ndiyo unatakiwa uzibe pengo lake.Mange alikuwa anafowadiwa matukio mengi kwasababu alipatikana whatsap.
karibia kila mtu mwenye smartphone kajiunga whatsapp, wachache wapo instagram, wachache zaidi wapo X.
Wenzake kina Hilda, Sativa, Maria n.k. hawaweki hadharani namba zao za whatsapp, hutegemea zaidi Instagram, akaunti hufungwa mara kwa mara au kudhibitiwa.
Kufungiwa kwa namba ya Mange WhatsApp siku chache kabla ya maandamano sio jambo la kawaida; kunaonekana kama jitihada za kuzuia upelekaji wa taarifa za D9.
Wakati wa MO29, Mange ndiye aliyekuwa anafowadiwa videos nyingi na kuzisambaza moja kwa moja au kupitia kurasa nyingine. Hata zile videos zilizotrend zaidi chanzo ni Mange.
Kwa sasa, kufungwa kwa namba yake whatsapp kutapunguza sana mtiririko wa taarifa za D9, kwani alikuwa akifikiwa kwa maarufu na rahisi zaidi.
Ngoja nikupe hii tip.Kumbuka kafungiwa na Instagram, hivyo namba yake mpya kuitangaza kwa X, mtandao wenye watembeleaji wachache.