cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Hili gazeti ni la kusoma kwa wiki nzima... Soma taratibu usije fukuzwa kazi huko. Nipo busy si update blog mpaka Friday au Saturday so hii topic iwa keep busy
Haya wadau mmedai kuwa nisijifanye kupatanisha watu wakati mie mwenyewe yangu yamenishinda.. hahahahhaha
Mmmedai na list ya niliogombana nao then nyie mtanipatanisha nao… Okeeeyyy, Here is the list... Uwiiiiii ndefuje sasa…
1. Rachel Temu – Huyu naweza kupatana nae any time na kusameheana nae anytime ila kwa mbali as in sitaki hata kikao cha kuongea yani tusameheane as in tusahau yaliyopita, tuheshimiane, tukionane habari njema kila mtu aendelee na maisha yake…
She is not a bad person ila kuna fuse moja kwenye kichwa yake imeungua so ni problem, Alafu ni yule rafiki ambae she can kill for you as in she is loyal ikija issue ya ugomvi atapigana ugomvi sio wake but also ni the kind of friend ambae if your husband is rich akamtaka basi andika maumivu……
I have always felt like money comes first to her….Dont get me wrong ukiwa rafiki na Rachel uta enjoy sana maana anajua kula bata ila ni rafiki ambae inabidi uwe unamwangalia kwa macho manne all the time…. Yani usimwamini. Na mie rafiki wa hivyo ataniumizaaaaa maana mie ni jingaaa yani nikiwa close na wewe nakutrust na kila kituuuu maisha yangu yanakuwa mikononi mwako. And I cant control this ndo maana huwa nakaa mbali na Wabongo maana najijui jinsi nilivyo ----.
2. Julieth Johnson – Huyu ni mtu ambae kama ningekuwa naishi TZ ni mtu ambae ningeweza kusameheana nae. Hajawahi kunikosea kitu cha maana sanaa na mimi sijawahi kumkosea kitu kikubwa. Ilitokeaga tu akanichukia mpaka kesho bado kitendawili kwangu nilimfanyaga nini.
Kulikuwa na bridal shower ya Adeline ya mwanae huyu wa mdogo ilifanyika kwa Julieth, yani mwanamke aligoma kata kata kunialika mpaka Adeline anashangaa why, mie nijikalia kimya….hahaha….Huyu ni wale marafiki ambao ni very loyal especially kwenye bad times, personally sijawahi kuwa nae very close ila alikuwa kwenye lile group na nilimuona alivyo loyal kwa marafiki ambao yuko nao close ila pia ni yule rafiki ambae inabidi umpende kwa yoote mazuri na mabaya.
Huwa anasali sana ila pia ni mtu wa chuki sana na fitna sana….. So yes, ni mtu ambae naweza ku hang out nae tena huko mbeleni bila mimi kuomba sorry au yeye kuomba sorry……. Yani in short ni mtu ambae mpaka leo sijawahi kumuelewa why alinichukiaga…
3. Adeline Mushi – This might come as shock to many ,Adeline ni mtu mzuri mnooooooooooooo kama rafiki yupo very loyal. Kusema ukweli nilimpenda sana Adeline and yes ni mtu ambae naweza kurudiana nae urafiki anytime tena ukawa urafiki mzuri kama wa zamani maana kusema ukweli the only reason sasa hivi siongei na Adeline ni vile tu anafata mkumbo ila mimi na yeye hatuna beef.
Jamani Adeline ni mtu poa sana, mcheshi sana and very real,she is not fake. She is crazy anachekesha ukikaa nae utacheka mpaka ukojoee sometimes huwa namiss vituko vyake…hahahaa… Ila ukiwa rafiki na Adeline uwe na pesa zako mambo ya offer au kuomba kukopa elfu 10 ukome, huyu ni mchaga ni mbahili hujapata kuona. Kama ni mtu wa kutegemea marafiki kipesa kwa Adeline mtashindwana siki mbili tu…hahahahahah…..
Ila I like her alot na ana roho nzuri sana ni mtu wa kujitoa kwa marafiki ila tu usiwe mtu wa kuomba omba ovyo. Kwa kweli sidhani kama I owe Adeline an apology au kama yeye anatakiwa kuniomba sorry. Hata kipindi kile nilichombonda huku nna mimba haki ya nani tulidundana sababu tu mie nilikuwa mjamzito + nna kigugumizi so hasira zilikuwa usoni.
Alikuwa anaongea sana alafu hanipi chance hata ya kumjibu ananisuta tuuu alafu watu wamejaa, tulikuwa dukani kwa Kiki tena. Also yeye hakuja pale kupigana, alikuja kunipa a piece of her mind ila hakujua kuwa hasira za mimba + kushindwa kuongea hata sentensi moja kungetufikisha pale…
4. Cynthia Masasi – Huyu aisee nilishapatana nae tena kwa kibahati mbaya tu au labda Ledi Peti alituchezea mchezo ila sijui ni nguvu za yesu ila ledi peti kama alituchanganya hivi tukajikuta tunachat whatsapp… Yani we were more than cool mpaka nimeondoka Bongo nimekuja Marekani tuko poa kishenzi ,mara kanichunia out of nowhere, ha!! Ndo nakuja kuambiwa kawa rafiki na kina Kiki so na yeye akajoin mkumbo, hahahahaha…..
Then later on nikaja kuambiwa kuwa sio kama alifata mkumbo ila Nacky alimwambia Cynthia na Doreen Njuwa kuwa mimi nilikuwaga nawasema sana…. Jamani sijakataa kuwasema ila sasa sikuwa naongea peke yangu mimi na Nacky tulikuwa tunawateta pamoja eti kaenda kunisemea mimi yeye hajajisemea. Na pia nilimsema kipindi cha beef im sure hata yeye alinisema.
Anyways, i didnt bother kumuuliza kwa nini kanichunia maana nilimuona ni mtu feki tu nae kama kweli angekuwa mtu mzuri angeniuliza kwanza. So na mie nikasema kama hakuniuliza why mie nimuulize. So huyu sina beef nae na mtu ambae huko mbeleni naweza peana nae hie and I dont think either of us anatakiwa kuomba sorry ila pia ni mtu wa kupeana nae hie basi maana I think ni mtu wa kukurupuka sana.
5. Sinta – Huyu kusema ukweli ni mtu ambae I feel like she need to apologize to me if ever nitakaa kusameheana nae. Mimi ni mtu wa kuomba msamaha pale napokosea. So huyu siku akijiskia yupo tayari kuomba msamaha nitasameheana nae na tutaheshimiana.
Huyo aliingia kwenye unafki wa mama sembe na kumpampiwa akaanza kunitusi , sijui alidhani yeye ndo angeninyoosha,hahaha. Mimi sina problem na blogging yake maana blogging yake alikuwa anajaribu kuni copy mimi exactly. Yani alitaka awe kama Mange kila kituuu mpaka kabila… Hahhhahahha…..
Ila nilimwambia wewe hiyo blogging kama ya Mange kwa TANZANIA itaku cost, hutoolewa ,hutokuwa na BF na ni hayo mpaka leo hii yupo single. Hakuna mwanaume wa kibongo anaweza kuoa mwanamke controversial , hawaweziiii. Na matokeo yake ndo hayo anajizeekea mwenyewe kwa mambo ya kuiga tembo kunya…hahahhaa…Ila Sinta mtu poa hana shida ni vile alidhani anamfurahisha mama sembe kwa kuanzisha balaa na mimi….
5. Eve Collections – Huyu dada , I think nilimkosea and I do need to apologize to her someday. Kupewa mahela na baba yake haimfanyi yeye kuwa fisadi. Pale nilichemka na siku moja ntamuomba msamaha. By the way sijuani na Eve ,sidhani hata kama nishawahi muona Live so hata nisipomuomba sorry its not like Im missing kitu ila ni ile kibinadamu , nilimkosea na natakiwa kumuomba msamaha.
6. Sophy Byanaku – Sophy yupo poa, last time nilivyokuwa Dar, Nov 2014 nilikutana nae Hyatt na tulipooNana tena kwa kupishana uso kwa uso tukajikuta wote tumesimama na kuanza kusalimiana yani hakuna aliemgonja mwenzie amuanze yani tulijikuta tu tunahamu ya kusalimiana na kuongea kidogo. It was genuine,yani We didnt even need to discuss nini kilichowahi kutokea , in short tulivyonana face face tulijuwa although we might not keep in touch or follow each other on IG sisi hatujawahi kugombana ni vile tu mambo ya magroup……
7. Chaya Shelukindo – For some reason nilikuwa naamini kuwa Chaya ana bonge la beef na mimi. Ila pia nilikutana nae Hyatt same day nilivyokutana na Sophie last time nilivyokuwa TZ , uwiii alinichangamkia as if nothing ever happened, kwanza nilikuwa in shock maana siku expect Chaya kunichangamkia vile, mpaka tuka hug,yani nilikuwa nimesikia maneno mengi mno kiasi kwamba siku expect Chaya kuniongelesha much less kunichangamkia ,tena alikuja hadi kwenye meza yetu….
Dah, Chaya ni mwanamke aiseee. Maana kwa vitu Chaya alivyojazwa na Nacky Nyange alitakiwa anichukie mpaka anakufa,ila Mungu anajua jinsi ya kuumbua wachawi…. Basi kipindi kile tulivyogombana si mnakumbuka Blog ya chargabarbie bado ilikuwa hewani basi kuna posti Chaya alitukanwa sana pamoja na Nacky can you imagine Nacky alimwambia Chaya eti Mange ndo anaandika zile comments zote.
Yani Nackie nyie. Imagine kina Chaya ni rafiki zangu mimi ndo nimemu introduce na anatuchochea hivyo ugomvi uzidi kuwaka moto. Na sasa imagine nani aliniletea habari? ushoga shogani.Ila Chaya nimemweshimu sana maana sikutegemea. So Chaya ni mtu ambae sihitaji hata kupatanishwa nae tuko powaaaaaa sana tu…… Although we dont follow each other on IG ila moyoni tunajua hatuna matatizo at all…..
8. Kiki Zimba – Kiki ndo alikuwa besti yangu kati ya watu wooote hawa. Problem is urafiki wangu na Kiki ulikuwa very one sided yani mimi kama nilikuwa nna force ule urafiki, yani kila siku watu walikuwa wananiambia Mange mbona wewe unampenda sana Kisa ila yeye anakusema vibaya all the time? Nimevumilia mengi mnooo kwa Kiki Mungu ndo anajua.
Hakuna mtu anaejua ups and downs za urafiki wetu kama mumewe na kama sio mumewe kuwa anatupatanisha all the time labda tungekuwa tumeshagombana enzi zileeee…. Kutokana na damage iliyokwisha fanyika tena publicly , i mean both sides tulipitiliza vipimo vyoote difference is mimi nilikuwa nafanya kama Mange yeye alikuwa anafanya kwa kujificha ficha nyuma ya computer.
So yes kibinadamu ni mtu ambae naweza kusameheana nae ila kwa msahama toka kwake yeye. Yani lazma aniombe sorry ndo nweza kupatana na KIKI. Yaliyotokea yoote yalitokea sababu ya yeye kuanza kunisema vibaya kisa tu eti nimeanza kuuza nguo kama yeye uwiii ila sasa nauza nipo marekani sikuwa hata Dar na kipindi naanza sikuwa hata nna plan ya kufungua business Dar ni baada ya uadui na yeye ndo nikaona why not.
So huyu yes moyoni mwangu one day kama maajabu yakitokea yes naweza kusameheani nae ila labda aniombe msamaha tena msamaha very sincere. Ila pia namjua vizuri mnoooo ni Mnyakusya yule ,uwiii hata angewekewa bastola kichwani hatokaaa kuniomba msamaha, so lets just say mie na Kiki hakuna hope. So wapatanishi hapa ni mission impossible…. …
9. Nackitie Nyange – Oh lord I HATE this woman. Sijui ntafanyaje Mungu anitoe hii roho ya chuki juu ya huyu mwanamke…. Jamani huyu mwanamke nyie. Dah, no wonder huyu dada hata relationship na wadogo zake ni kazi haswaaaaa…… Jamani huyu dada ni mchonganishi nyie sijui nisemeje, yani the day nilivyowekaga ile post on fb kuhusu kugombana na rafiki zangu nikaona kaniblock IG, nikashangaa nikam contact kumwambia kuwa hapana mimi na yeye tuko cool hausiki.
OMG, yani na kumuelezea kote huyu ndo alikuwa kichocheo cha moto mpaka kuwaambia kina Cynthia nilikuwa nawasema kwake, kumwambia Chaya Mange ndo anamtukana kwenye hiyo blog jamani hii ya Chaya iliniumaaaa nakumbuka 2 yrs ago nilikuwa naongea na Mwamvita niko Las Vegas nilimlalamikia about hili kidogo nilie maana nilishangaa Chaya kanikosea nini mpaka nikamtukane kwenye blog jamani….
Iliniuma sana ,unajua Nacky mpaka akamwambia mume wake yule mIHAYO eti Mange ndo anakutukana kwenye blog mumewe akanipigia akaniuliza vibaya nikaishia kumtukana matusi kibaooo… Kilichoniuma kati ya vyote, Nacky was my friend, hao kina Kiki, Adeline woooote walikuwa hawamtakiii kwenye group mimi ndo namuombea aingie, Nacky alikuwa ananililia nimu introduce kwa dada wa sauzi kipindi hiko yuko marekani.
Ananiomba nimuombee aende New York aka hang out na huyo dada eti kampenda kwenye picha na mie namuombea, akarudi TZ akafanyiwaga welcome home dinner na rafiki zake jamani alinisumbua nimwalike dada wa sauzi aje, imagine anataka mtu ambae hata kumwalika yeye mwneyewe hawezi aje kwenye dinner yake, jamani mbona nilimake sure huyo dada kavaa kaja kwenye dinner jinsi niliyokuwa nampenda Nacky nataka afurahi,akawa ananiomba nimuite zile branch zetu za Hyatt jamani group zima linanuna especially Adeline, Ade alikuwa hafichi alikuwa ananisema kabisa Nacky usimlete sio mtu mzuri mie mbiiishi jamani hata mkitafuta picha za nyuma za branch za Hyatta mtaona Nacky lazma akae next to me maana mie ndo shogake ,basi akija hizo branchi atabeba zawadi ampe dada wa sauzi yani dada wa sauzi akimsifia hiko kbanio kizuri uwii next sunday atakuja brucnh na hicho kitu kama zawadi ampe…hahahah jamani dada ali fight kumjua dada wa sauth utadhani ana fight kujuana na mwanaume.
Na mie ndo namuita kila mtoko awazoeee, jamani imagine siku mimi nimegombana na rafiki zangu yeye ndo akaingia kati kuwatia utambi vizuri badala awe side yangu maana mie ndo shogake au awe netral… DUH KWELI kutaka kujuana na watu wenye status mjini ni shida mtu anakosa hata utu…. Huyu dada sidhani kama nitakaa kuweza kumsamehe hata akiniomba msamaha maana ni muongooooooooooooooooo, mchonganishiiiiii,mnafkiiiiiiiiiiiiii.
In short sijashangaa kuachwa na mume wake hakuna mwanaume anaweza kuishi na huyu dada ni mtu mbaya sana an very fake. Kaachwa basi kajikondeshaa sasa hivi madai yake anatafuta bwana mpya..hahahahaha…..Yani nyie nikiwawekea chat alizokuwa anaomba nimuombee kwa dada wa sauzi aende kumeet new york mtachokaaaaaaa….
Yani nilimshangaaa maana mimi niliamua mwenyewe siwezi kuwa kwenye kundi la fake friends wanaonisema behind my back na nikaamua kuwa blast on facebook. Maana niliumia sana yani just 2 days before nilitoka kumuona mtoto wa KiKI huyu mdogo s na picha nikarusha insta kumbe nimetoka kumuona mtoto wake na kaenda kunisema vibaya? eti wala sikumualika kwangu kaja mwenyewe, jamani niliumia,imagine alivyojifanya kufurahi nimeenda kumbe ndo anaeenda kunisema,mamaaa niliumiaaaa nikasema basi acha niwe peke yangu ndo nikatapika facebook…
Ila sasa imagine mimi niliamua kutoka kwenye group sababu niliona halina faida kwangu Nacky yeye ndo alikuwa anaweza kufa kuingia kwenye hilo group mpaka kunigeuka mimi rafiki yake for the sake of watu ambao hata hajawazoea ,yani that day nimeweka ile posti facebook ya kusononeka that day ndo the first day Nacky kakutana na wale wadada bila mimi au bila kuitwa na mimi.
Ila akajiweka yeye ndo kiranja wa ugomvi.Yule mwanamke jamani ni nyoka nyie hamuwezi kuelewa. Na kuna comment mtu aliweka about huyu dada kuwa close na mke wa Luca and now kahamia kwa Nacky its so true, Nacky is a snitch yeye ni about status and money basi. Alikuwaga very close friends wa mke wa Luca na alikuwa anamchukia Nancy kufaaa kwa kuiba mume wa shogake yani nilipokuja kumuona eti yeye ndo kawa official mpambaaji wa mtoto wa NANCY and Luca kisa Nancy kawa na status nilichokaaaaaaaaaa…..
Yani yule dada kuna siku mtakuja kuniambia mimi……One day tutakuja kuongea topics ya huyu Nacky humu na nitawaambia mmeona allivyo snitch… she is by far the worst firiend I have ever had maana she ditched me when I needed her most maana nilikuwa nimewablast marafiki woote facebook nikijua yeye is with me ,uiii kumbe mwenzangu keshahanihama,that means she was just using me kujuana na wale wadada yani hakuwahi kunipenda alikuwa ananitumia tu especially kujuana na dada wa south and thats it.
Huyu mwanamke naomba muwe mnanisalia niweze kupata nguvu ya kumsamehe ili niondokane na huu uzito rohini mwangu, hating someone is a full time job jamani. Ni utumwaaaa asikwambie mtu… I need to stop hating her mniombeeee. Ila kwa kusameheana nae siweziiiiiiiiiii, dah!!!
10. Nafue /Glam Madam – Huyu anytime akiwa ready mie niko nae poa, we dont even need to apologize to each other, tuligombana viugomvi vya kijinga jinga. Glam madam anavitu anaboa sana mkiwa close, she means well ila hajui kum complement rafiki yake atakutoa kasoro morning till evening.Yani ukishinda nae siku nzima utajikuta una stress za kufa mtu.
Ila sio mtu mbaya at all, she is an amazing person ni vile I think hana communication skills basi. Like anawezakukwambia "we mange una viguu vibaya jamani" like 5 times a day ila anasema kama utani but after a fews time unaanza kuumia… Not just me marafiki zake wengi lalamiko lao ni hili hili….Ila kwingine kote she is amazing na sio back stabber kama dadake.
Ila huyu nae mgomvi kama mimi na mbishi kama mimi so mimi na yeye tukispend muda mwingi pamoja lazma tuvaane.Ila ukweli ni kwamba sometimes I miss her kwa kweli, especially coz hatujawahi kukoseana kivile yani ni vimambo vya kitoto toto tu.
Nafue ni vile yupo bossy like me but she is really harmless nachekaga wateja wake wanavyo complain kuwa anawagombeza saloon kwake, ndo alivyo Nafue yani mwenzenu hata besti friend anamuongelesha hivyo hivyo na hapo ndo anampenda and its hard ndo maana mimi pia nilikuwa nashindwa tunagombana na kurudiana ,ila ndo anavyoongea hivyo…hahahaha,na kukutoa kasoro ndo alivyo anapenda kuhighlight vitu vyako vyooote vibaya It doesnt means she hates you ila anapenda tu kusema vitu vya kumuuzi mtu….lol… Na mie nimesha muaccept kama alivyo maana na mie nna matatizo yangu ambayo ilibidi Nafue anivumilie….. No one is perfect……..