venine
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 1,458
- 1,569
Ukweli wa kutoa siri za mashost? Wangemalizana hukohuko ili ku keep friendship. Urafiki ni gharama sana, lazima uwaelewe na kuwapenda marafiki.Mange ni mkweli na ukweli wake ndo unafanya awe na maadui wengi,kwa sbb watu hawapendi ukweli.
Mtu akiwa anakurupuka na decisions za kum favor yeye binafsi, urafiki hauwezi kudumu.
Kuna siku kwa blog yake aliandika, bi fulani (mpole mno na rafik wa kigroup chao) alisaliti ndoa yake akalala hotel flani na fulani.
Yaani, sikumuelewa kabisa huyo msema kweli. Mi hata tukosanaje na shosti.. Bado siri yake ni yangu