Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

Aliefufua huu uzi kanikumbusha sana U turn. Umeumiza hisia zangu maana nilikua nacheka sana na kula ubuyu wa mjini
 
Kuna nini kimetokea jf.

Mbona kuna id fulank fulani za wakongwe zimeanza kuwa active kwa mpigo ?
Habari ya huko mlikotoka

charminglady
 
Na ni mnafiki kweli akiwa nje ana pretend ka malaika kumbe na mchafu ka wengine. Hyo ya mwa FA kumla mzigo niliona. Kumbe na yeye wale wale. Ana mpapu mwenzake andika hivi hafu baadae anamponda hajielewi loh!
Flaviana toka shule alikuwa mnafk sana. Wenzie wengi hawakumpenda. Sura yake na nyota vilimbeba
 
Ila baada ya ile posti ya mange siri zote za uvunguni za wote 26 zitakuwa hadharani.... labda mange abanie comment
Ila naye mange hayuko reserved. Yaan akiamua kumwagika haangalii nini ni nini na wapi. Hebu tuone umbea wa mjini utasemaje
 
Na tuliokuwa sio wadau wa hizo blog kwa sasa tunafaudi kwa ufufuko wa uzi huuu. I love Mange😀😛
 
Ila naye mange hayuko reserved. Yaan akiamua kumwagika haangalii nini ni nini na wapi. Hebu tuone umbea wa mjini utasemaje
Mange hafai kuwa bff. Mkizinguana hata kidogo tu, siri zote zinamwagwa hadharani. Juzi kati alitupia siri za mdogo wake ambae hawakukutana road, Wema.
 
Back
Top Bottom