Mange na Diamond kwa sasa ni pete na kidole

Mange na Diamond kwa sasa ni pete na kidole

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Eti wananzengo mnijuze kidogo ,hivi huyu mwanadada Mange Kimambi kimemtokea nini haswa siku hizi mpaka ameanza kusapoti kazi za Diamond Platnumz??

Ninaona siku hizi analeta leta shobo sana kwa diamond mara aposti akicheza video ya jibebe , mara ahamasishe watu wazidi kumsapoti Diamond etc.kiukweli nimeshindwa kumuelewa kabisa.

Mashabiki wa Ally Kiba wanaumia sana kumuona Mange kawageuka siku hizi na kuhamia kwa Diamond.

Ila Mondi ameshasema yeye ni kama maji usipokunywa utayaoga tu, taratibu taratibu mmoja mmoja anaanza kunyooka .
20180829_215942.jpg
20180829_220024.jpg
20180829_220051.jpg
20180829_220119.jpg
 
Sababu sasa hivi Diamond anamsupport Hamisa na ameachana na bi Tukinao
 
Eti wananzengo mnijuze kidogo ,hivi huyu mwanadada Mange Kimambi kimemtokea nini haswa siku hizi mpaka ameanza kusapoti kazi za Diamond Platnumz??

Ninaona siku hizi analeta leta shobo sana kwa diamond mara aposti akicheza video ya jibebe , mara ahamasishe watu wazidi kumsapoti Diamond etc.kiukweli nimeshindwa kumuelewa kabisa.

Mashabiki wa Ally Kiba wanaumia sana kumuona Mange kawageuka siku hizi na kuhamia kwa Diamond.

Ila Mondi ameshasema yeye ni kama maji usipokunywa utayaoga tu, taratibu taratibu mmoja mmoja anaanza kunyooka .View attachment 850744View attachment 850745View attachment 850746View attachment 850747
Mr Ebbo alisema ulishawi kuona mbusi ikirembua baadoo hijaona hijaona baado..mifupa mitupu
 
Back
Top Bottom