Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Eti wananzengo mnijuze kidogo ,hivi huyu mwanadada Mange Kimambi kimemtokea nini haswa siku hizi mpaka ameanza kusapoti kazi za Diamond Platnumz??
Ninaona siku hizi analeta leta shobo sana kwa diamond mara aposti akicheza video ya jibebe , mara ahamasishe watu wazidi kumsapoti Diamond etc.kiukweli nimeshindwa kumuelewa kabisa.
Mashabiki wa Ally Kiba wanaumia sana kumuona Mange kawageuka siku hizi na kuhamia kwa Diamond.
Ila Mondi ameshasema yeye ni kama maji usipokunywa utayaoga tu, taratibu taratibu mmoja mmoja anaanza kunyooka .