hahahahahaha, LadyAJ si unajua tena mambo ya Jumatatu ya Bluu ahahahahahahahhhhaa. Nimejisikia kuamsha dude hahahahahaha hapa JFHuyo mzazi anatafuta sokomoko,kama bajaji tu zinakamatwa asubiri watoto wake wakiitwa Central otherwise hawatokua salama
Kiiiiiruuuuuuuuu!!!heri angewaita hata treni na mwendokasi
haki za watoto hawawezi kutiwa mbaroni, hahahahahahahahahaahahAangalie hao watoto watatiwa mbaroni
hahahhaahah, nimejisikia tu kupost ili nione reaction za wanajf hahahha. good morning NorshadMajina mengine haya
hahahhaahah, nimejisikia tu kupost ili nione reaction za wanajf hahahha. good morning Norshad
hahahahhah, mfukoni sina kitu rafiki nimechanganyikiwa hahahaahhahCHIRIKA MTABIRI umekunywa nini asubuhi hii mbona sijaelewa.
hahahaha, wakati huo itakuwa ni baada ya 2020 EDO ndie atakuwa rais?!Mmh!, uwezekano wa kusoma Shule za Serikali hii hao watoto haupo.
tehe tehe kweli kabisa joanah tehe teheMapenzi yao kwa mange,sio mbaya
ππππππππππππMorning Naa, hahaaah mzazi atayewapa wanaye hayo majina labda awe insp jenerali