Mange na Kimambi wazaliwa

Mange na Kimambi wazaliwa

Ukiona post zake za kumsifia Magufuli na anachoandika sasa hivi, na kama unajua psychology ndogo tu ya mtu hauwezi kumuamini au ukamuita mwanao jina lake eti ni shujaa
Kweli kabisa naumbu
 
why? mimi namuona Mange ni mwanamke anayejisimami. Ni fighter kama aliweza kupenyeza kufika huko aliko, siwezi kum underate! Mamdenyi huwezi kufanya anayoyafanya. Unaweza usione lakini ukiingia ulingoni ndipo utajua tofauti
aisee! habari za asubuhi Retired? nimeipenda comment yako
 
Shost yangu kajifungua watoto mapacha, wakike na wa kiume.
Wanafamilia wamekaa pamoja na kuwapa watoto hao majina.
Msichana ameitwa Mange na Mvulana anaitwa Kimambi.
Hongera zake kwa kupata watoto mapacha
Majuzi pia Genesis na Exodus wamezaliwa!
Mungu mkubwa, ni mapacha hawa.
 
aisee! habari za asubuhi Retired? nimeipenda comment yako
Wasiofikiri kwa undani wanamwita malaya and all sorts of bad names. Lakini huyo binti ni shujaa! Anaweza aka command masses zikamsikiliza. Akawahamasisha watu wakachanga , akapenya akafika US, akapata uraia.. etc. Si wote tunaweza wazaa watoto wa kike wenye uthubutu wa hivyo. I admire her!
 
Naomba nikuulize kidogo kaka Retired,
wakati wa kampeni alimzumshia rais wetu wa mioyo EDO kuwa kapitiwa na haja kubwa kule Geita ulijisikiaje? mimi sikupenda ule uzushi wake
 
Naomba nikuulize kidogo kaka Retired,
wakati wa kampeni alimzumshia rais wetu wa mioyo EDO kuwa kapitiwa na haja kubwa kule Geita ulijisikiaje? mimi sikupenda ule uzushi wake
Ni kweli sikupenda na iliniudhi kama binadamu maana ni kashifa ya kutunga. Lakini baadaye alikuja badilika akaona ukweli. Ndio faida ya kusema , kusimamia ukweli. Hilo lilimwekea doa kubwa. Nadhani alijifunza uadilifu??????
 
alaa kumbe! basi imekuwa vema kama aligundua kosa lake.
 
f067d4caffd9730c028ec28922b5a577--ugly-men-social-justice.jpg
 
Ila tabia za Mange zinajukikane hivyo hao wazazi wasije kumlaumu mtu.
 
yaani hilo jina

mpttyuuuuuuuu!!!!!!!!
Yaani sipatii picha wakiwa wanakatiza mitaa ya Central pale alafu mama yao akianza kuwaita kwa sauti kubwa wamsubiri
"Mangeeee, we kimambii"
Yaani wajeda wote wata koki bunduki zao [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Ungeiondoa jioni hii post lkn umefanya haraka,
 
Back
Top Bottom