- Thread starter
- #41
Kweli kabisa naumbuUkiona post zake za kumsifia Magufuli na anachoandika sasa hivi, na kama unajua psychology ndogo tu ya mtu hauwezi kumuamini au ukamuita mwanao jina lake eti ni shujaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa naumbuUkiona post zake za kumsifia Magufuli na anachoandika sasa hivi, na kama unajua psychology ndogo tu ya mtu hauwezi kumuamini au ukamuita mwanao jina lake eti ni shujaa
hhaahahahahahaahaaahahahPombe anatoa amri kama msaafu wasome bure 😀
aisee! habari za asubuhi Retired? nimeipenda comment yakowhy? mimi namuona Mange ni mwanamke anayejisimami. Ni fighter kama aliweza kupenyeza kufika huko aliko, siwezi kum underate! Mamdenyi huwezi kufanya anayoyafanya. Unaweza usione lakini ukiingia ulingoni ndipo utajua tofauti
HakikaSawa ni haki ya mtoto kupewa jna wamefanya vizuri
Majuzi pia Genesis na Exodus wamezaliwa!Shost yangu kajifungua watoto mapacha, wakike na wa kiume.
Wanafamilia wamekaa pamoja na kuwapa watoto hao majina.
Msichana ameitwa Mange na Mvulana anaitwa Kimambi.
Hongera zake kwa kupata watoto mapacha
Kumbe!Majuzi pia Genesis na Exodus wamezaliwa!
Mungu mkubwa, ni mapacha hawa.
Wasiofikiri kwa undani wanamwita malaya and all sorts of bad names. Lakini huyo binti ni shujaa! Anaweza aka command masses zikamsikiliza. Akawahamasisha watu wakachanga , akapenya akafika US, akapata uraia.. etc. Si wote tunaweza wazaa watoto wa kike wenye uthubutu wa hivyo. I admire her!aisee! habari za asubuhi Retired? nimeipenda comment yako
Naomba nikuulize kidogo kaka Retired,Wasiofikiri kwa undani wanamwita malaya and all sorts of bad names. Lakini huyo binti ni shujaa! Anaweza aka command masses zikamsikiliza. Akawahamasisha watu wakachanga , akapenya akafika US, akapata uraia.. etc. Si wote tunaweza wazaa watoto wa kike wenye uthubutu wa hivyo. I admire her!
Ni kweli sikupenda na iliniudhi kama binadamu maana ni kashifa ya kutunga. Lakini baadaye alikuja badilika akaona ukweli. Ndio faida ya kusema , kusimamia ukweli. Hilo lilimwekea doa kubwa. Nadhani alijifunza uadilifu??????Naomba nikuulize kidogo kaka Retired,
wakati wa kampeni alimzumshia rais wetu wa mioyo EDO kuwa kapitiwa na haja kubwa kule Geita ulijisikiaje? mimi sikupenda ule uzushi wake
alaa kumbe! basi imekuwa vema kama aligundua kosa lake.Ni kweli sikupenda na iliniudhi kama binadamu maana ni kashifa ya kutunga. Lakini baadaye alikuja badilika akaona ukweli. Ndio faida ya kusema , kusimamia ukweli. Hilo lilimwekea doa kubwa. Nadhani alijifunza uadilifu??????
Habari ndio hiyo jambazi fungua masikio usikie vema, hahahahahahahahahahahahahahah
Watakuwa jasiri kama mwenye jina lake!!! 🙄🙄🙄yaani hilo jina
mpttyuuuuuuuu!!!!!!!!
Yaani sipatii picha wakiwa wanakatiza mitaa ya Central pale alafu mama yao akianza kuwaita kwa sauti kubwa wamsubiriyaani hilo jina
mpttyuuuuuuuu!!!!!!!!
😛😛😛😛😀😀😀😀Ila tabia za Mange zinajukikane hivyo hao wazazi wasije kumlaumu mtu.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Yaani sipatii picha wakiwa wanakatiza mitaa ya Central pale alafu mama yao akianza kuwaita kwa sauti kubwa wamsubiri
"Mangeeee, we kimambii"
Yaani wajeda wote wata koki bunduki zao [emoji1] [emoji1] [emoji1]