Mange na Sarungi ni wazalendo kuliko hata Samia! Uzalendo ni vitendo. Mama pekee na mafisadi wenzake ndiye mnufaika na mauaji na chaguzi fake.
Hakuna faida yeyote kwa nchi zaidi ya matumbo yao. Ni bora wale wanaharakati ambao wameacha shughuli za kuwaingizia pesa na kupigania haki kwa vijana na taifa hili.
Uzalendo fake wa watawala tushukuru Mungu vijana wetu wameanza kutuelewa sasa. Uzalendo ni vitendo vyako sio makao yako wala kuvaa bendera