Mange unataka kufundisha nini wanawake?

NDEO

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
813
Reaction score
189
Naomba msome hii hapo chini maana mimi naona huyo mwanamke ni chizi.Kweli unataka wanawake watumie private parts zao kama asset.
 
Huyu mwanamke karibia atakuwa kichaa sasa.
Tukisema ameachika anakataa.
Hivi kweli mke wa mtu unatoa somo gani hilo?
Kweli MangeKimambi na usomi wako wote badala uwape mabinti maarifa uliyopata darasani unawafunza jinsi ya kutumia nyeti zao wapate maisha?
Hata hivyo hiyo ndio kazi yako,huwezi kuwashauri tofauti na ulichobobea.
 
Haaaa haa ngoja nirudi Celebrity forum..Nifaaaa Mwasu twendeni zetu kile kwenye Uzi wetu Hatudanganyikiii tunayeee mpaka mwisho..let's go back.
 
huyu mdada kumbe ni wa hovyo kiasi hiki
 
Polepole

swissme
 
Ana gonjwa liitwalo mange!!! Naona ndo linashambulia ubongo wake sasa
Ningemuona ana akili kwa kuanza kutuambia ni mafanikio gani ameyapata so far kwa kutumia her pussy.
 
Alivyo na nuksi ata angekua nayo ya gold watu wangevumbua dhahabu na kumuacha hapo hapo nani akae na mtu anaropokwa kama kapandwa na mashetani
Hahahhahaa. Sio nuksi tu wanasema hafai down there.
 
Haaaa haa ngoja nirudi Celebrity forum..Nifaaaa Mwasu twendeni zetu kile kwenye Uzi wetu Hatudanganyikiii tunayeee mpaka mwisho..let's go back.
Twende zetu bwana,huyu bibi hana jipya.
 
Kwa hii serikali ya awamu ya tano atakayefuata ushauri huo lazima ajikute papuchi yake imekuwa written off kabla hata hajatoka kimaisha hahahaha
 
Chefuuuu sana huyu Mange hovyoooo kama yeye yamemshinda anatushauri siye?
 
Hivi tatizo ni Mange? Kingereza alichotumia? Au gundu alilonalo? Wengi inaonekana mnapenda Mange na ndio maana mna muda wa kufunguwa account zake huyu ghibirisi.

Niweke wazi kabisa simpendi kabisa Mange hata siku moja lakini ukweli ni kwamba alichoandika ndio ukweli wenyewe labda kama wengi mnasumbuliwa na lugha ya malkia aliyotumia au chuki zetu kwake zinatufanya kushindwa hata kudigest alichoandika.

Ni kweli tupu wanawake wengi wanaitumia miili yao kutimiza malengo yao, hawatoi K bure na wala hawauzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…