Mange unataka kufundisha nini wanawake?

Mange unataka kufundisha nini wanawake?

Mi nampenda tu hata wamseme kiasi gani, I love you Mama Bhoke,Kenzo and Keanu, Mwaaaah!
 
Mi nampenda tu hata wamseme kiasi gani, I love you Mama Bhoke,Kenzo and Keanu, Mwaaaah!
Pamoko mamy yaan mi mwnywe kwa muke ya muzungu hunitoi yule ni makavu laivu hakwepeshi halafu kuna wanafiki wanamnanga moyoni wanachekelea lol mange tukomeshe mama!!!!!!
 
Tatizo la Mange ni kusema ukweli ambao wengi wetu hatutaki kuusikia. Hatutaki kuambiwa ukweli. Jambo alilolisema lipo...na wanawake wengi hawaliweki wazi lakini ndio hivyo inakuwa. Si ushauri mzuri kwa mabinti wadogo... Lakini ukweli ndio huo.
Mbali na maugomvi yake ambayo sijui huwa yanatokea wapi lakini huyu dada yupo fit upstairs!
 
alichosema ni ukweli mtupu, wanawake wengi wanatumia pussy as part of getting something. lakin hapa jukwaani watamponda hadi basi...huwa namfurahia lara1, yuko very open!!!!!. hapa mange anawakumbusha tu wajibu wenu, kuwa msibweteke atiii...

Hivi kuwa open ndo kunamfanya mtu awe sawa kwa kile anachokiongea?
 
Tatizo la Mange ni kusema ukweli ambao wengi wetu hatutaki kuusikia. Hatutaki kuambiwa ukweli. Jambo alilolisema lipo...na wanawake wengi hawaliweki wazi lakini ndio hivyo inakuwa. Si ushauri mzuri kwa mabinti wadogo... Lakini ukweli ndio huo.
Mbali na maugomvi yake ambayo sijui huwa yanatokea wapi lakini huyu dada yupo fit upstairs!

As per your say....ushauri wake si mzuri manake haufai that's it hata kama ni ukweli au unafanywa na wengi ila haufai period!!!
Mengine labda mumtetee tu
 
Kumbe huyu mtu ni msomi pia...simjuagia ila mapost yake tu ni shida
.....haelimishi ye mtu wa vijembe duh ....msomi mange nilijua mtu wa kuchetuka tu af labda ni elimu ndogo tu
 
Tunako elekea mtajustify mpaka kulala na baba zenu, level za kujiheshimu zimeshuka kiwango kiasi cha kutisha!
 
Very strong message..."learn how to use your pussy, not to sell your pussy"....midada ya siku izi hapa tu ndo wanapokoseaga ndomana dizain flani hivi hata mtoa mada na wachangiaji wake wengine kama wamepanic,lugha ya malkia hii shidaaaa
 
Huyu mwanamke karibia atakuwa kichaa sasa.
Tukisema ameachika anakataa.
Hivi kweli mke wa mtu unatoa somo gani hilo?
Kweli MangeKimambi na usomi wako wote badala uwape mabinti maarifa uliyopata darasani unawafunza jinsi ya kutumia nyeti zao wapate maisha?
Hata hivyo hiyo ndio kazi yako,huwezi kuwashauri tofauti na ulichobobea.
Hajasema mtu ajiuze!!......Hivi kwa mfano mimi nikaupenda urembo na personality yako halafu tukawa 'just friends' and then tukawa tunatoana, maybe mimi mali na cash siyo shida na ninazo zaidi yako so nikawa nakutoa zaidi, hapo utakuwa umejiuza au kuchezea mwili wako???
 
Huyu mwanamke karibia atakuwa kichaa sasa.
Tukisema ameachika anakataa.
Hivi kweli mke wa mtu unatoa somo gani hilo?
Kweli MangeKimambi na usomi wako wote badala uwape mabinti maarifa uliyopata darasani unawafunza jinsi ya kutumia nyeti zao wapate maisha?
Hata hivyo hiyo ndio kazi yako,huwezi kuwashauri tofauti na ulichobobea.
And trust me kuna wanawake kibao utakuta wanafanya anayowaambia
Smh (both my heads to be precise)
 
Back
Top Bottom