Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
There is a very #thin line between Love and Hate.......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha et kwa mbaaaaaliMumrushie mawe Mange weeee... ila kuna kijiukweli fulani kwa mbaaaaaaliii
Pamoko mamy yaan mi mwnywe kwa muke ya muzungu hunitoi yule ni makavu laivu hakwepeshi halafu kuna wanafiki wanamnanga moyoni wanachekelea lol mange tukomeshe mama!!!!!!Mi nampenda tu hata wamseme kiasi gani, I love you Mama Bhoke,Kenzo and Keanu, Mwaaaah!
alichosema ni ukweli mtupu, wanawake wengi wanatumia pussy as part of getting something. lakin hapa jukwaani watamponda hadi basi...huwa namfurahia lara1, yuko very open!!!!!. hapa mange anawakumbusha tu wajibu wenu, kuwa msibweteke atiii...
Tatizo la Mange ni kusema ukweli ambao wengi wetu hatutaki kuusikia. Hatutaki kuambiwa ukweli. Jambo alilolisema lipo...na wanawake wengi hawaliweki wazi lakini ndio hivyo inakuwa. Si ushauri mzuri kwa mabinti wadogo... Lakini ukweli ndio huo.
Mbali na maugomvi yake ambayo sijui huwa yanatokea wapi lakini huyu dada yupo fit upstairs!
Hajasema mtu ajiuze!!......Hivi kwa mfano mimi nikaupenda urembo na personality yako halafu tukawa 'just friends' and then tukawa tunatoana, maybe mimi mali na cash siyo shida na ninazo zaidi yako so nikawa nakutoa zaidi, hapo utakuwa umejiuza au kuchezea mwili wako???Huyu mwanamke karibia atakuwa kichaa sasa.
Tukisema ameachika anakataa.
Hivi kweli mke wa mtu unatoa somo gani hilo?
Kweli MangeKimambi na usomi wako wote badala uwape mabinti maarifa uliyopata darasani unawafunza jinsi ya kutumia nyeti zao wapate maisha?
Hata hivyo hiyo ndio kazi yako,huwezi kuwashauri tofauti na ulichobobea.
And trust me kuna wanawake kibao utakuta wanafanya anayowaambiaHuyu mwanamke karibia atakuwa kichaa sasa.
Tukisema ameachika anakataa.
Hivi kweli mke wa mtu unatoa somo gani hilo?
Kweli MangeKimambi na usomi wako wote badala uwape mabinti maarifa uliyopata darasani unawafunza jinsi ya kutumia nyeti zao wapate maisha?
Hata hivyo hiyo ndio kazi yako,huwezi kuwashauri tofauti na ulichobobea.