Alaf pia kuhusu suala la love in dinial sio kweli kwa wote.si kila anayemfuatilia ana love/hate her.sometimes watu wanatafuta entertainment tu,and idiots are the best entertainersHuyo dada naona watu wengi sana wanamkubali ila wako kwenye denial.
Ni kama wenu mtiifu tu hapa. Najua watu wananikubali sana tu. Kila wakiona mabandiko yangu lazima wasome waone nimesema nini.
Ndo hayo hayo ya binti. Watakuwa wanamkubali sana. Haiwezekani mtu mmoja, tena eti supposedly anayechukiwa saana, kukosesha watu usingizi namna hii. Na hao watu hawaishi kumfuata huko kwenye maushuzi ya sijui Instagram nini nini. Yaani haiingii kabisa akilini aisee.
Halafu anavojua kuwatoa watu mapovu sasa....hahahaaa....just classic textbook. Huwa nahisi kama keshawasoma wajinga wajinga walivyo na anajua nini cha kufanya kuwatoa mapovu na utoko....teh teh teh.
Not to toot my own horn but I wouldn't be least bit surprised if she takes pointers from the best (read: me) on how to aggravate online trolls.
She has definitely taken the mantle of being the number one hater aggravater......
USA baby.........
Got ya.
Ila huyo mdada anatesa sana hisia za watu na keshalijua hilo.
Mkuu case yako na ya huyu chizi ni tafauti.Hata mm nakukubali ingawaje samtaimz huwa tunatafautiana mitazamo.ndo maisha yalivyo dunianiwatu hatuwezi kuwa na mitazamo sawa.Pili wewe huwa unafanya trolling lakini watu tunajua unaakili zako ziko sawa tu,na uelewa wa mambo unao.lakini huyu bishosti matendo na kauli zake inaonyesha kabisa hayuko sawa.na anachopost ndo anachokusudia ndo akili yake inavyomtuma na sio trolling wala baiting.
Alaf pia kuhusu suala la love in dinial sio kweli kwa wote.si kila anayemfuatilia ana love/hate her.sometimes watu wanatafuta entertainment tu,and idiots are the best entertainers
I agree,tuna mpa outlet ya kusambaza upuuzi wake,kila siku post mpya za kumuhusu,hata sie wengine tuliokuwa hatumjui tumemjulia humu JF.life is gettin boring for many my nigga.monotony is a mufucka.ratiba za watu skuiz ni ofisini,shule,home,bar,beach kwisha.watu hawako adventorous kabisa,no hobbies no extra carricular activities no nothing.lazma watu wapoteze muda insta hawana jengine la kuwashuhulishaMkuu, heshima mbele. Shukran jazilani kwa maneno yako ya kiungwana. Real recognize real.
Kuhusu afya ya akili ya huyo mtu, labda kweli hazimtoshi. Kwa vile simjui basi hata hilo la utimamu wa akili nalo silijui.
Ila inastaajabisha kidogo kuona mtu ambaye huenda akawa ni al junun ku command attention kiasi hiki tena kutoka kwa watu ambao wao wanajiona wako timamu.
Don't you think?
Kazi kweli, nimecheka sana.IF YOU HAVE BRAIN AND PUSSY, YOU CAN RUN THE WORLD.
Eti unataka feedback.!!!Hahahahaaa na wewe unataka kula lile shombo mkuu?
Usisahau tu kunipa feedback...
Kila la kheri
Ha ha ha. Loool! Nimecheka hadi machozi. Walahi huyu ana mashetani sio bureAlivyo na nuksi ata angekua nayo ya gold watu wangevumbua dhahabu na kumuacha hapo hapo nani akae na mtu anaropokwa kama kapandwa na mashetani
Hahaha Mkuu wajuvi wanakwambia kile kiungo ni shiidaKazi kweli, nimecheka sana.