Mange, you don't look good by making others look bad, jitathmini!

Mange, you don't look good by making others look bad, jitathmini!

Hayo ndo mambo ya kampeni mbaya ni mambo ya kuzua....chill guys
 
tatizo nyani huwa haoni kundule, mange anapenda kuongea ya watu wakati ya kwake kibao tunayajua, ndoa yenyewe huko ishamshinda,mzungu kachoka tabia zake,mange anafanya kulazimisha ndoa,watu tunajua ila tumenyamaza, sasa yeye kila kukicha ni kuattack watu,huyu akili zake nadhani zipo kwenye chupi au yupo na depression inayomfanya awe na hizo tabia za kijinga

Ni ngum kwa mwanaume yyte kuvumilia domo la mwanamke kama mange, sembuse mzungu????? Am so wandazz huyo mzungu anahali gan na hyo ndoa yake
 
Mm ukawa hata wakiweka jiwe ndo ntakalochagua coz nshaamua kung'oa kabisa mizizi ya mdudu kupe ccm, poleni kwenu nyie miungu watu mnaojifanya kina dr manyaunyau kutabiri afya za watu, nmedhamiria kwa nia moja na kwa moyo mmoja kumchagua fisadi huyu mmoja na kuongozwa nae kuliko kurudisha sytem iliyojaa mafisad yasiyo na idadi.nawasilisha!!!
 
Unajifanya mtu wa system kuyajua mengi!
Hainisaidii kwa sasa.. dumb or Not, innocent or Not.
Nitamchagua Lowassa.
Narudia tena mimi mtu wa JF nipo nyuma ya keyboard, nayajua machache, ni Mtanzania nimeichoka CCM.
Saga chupa shushia na whiskey.

Lowassa tunakupa kuraaaaa ambae hatakiiiii afeeeee babaa
 
Ni ngum kwa mwanaume yyte kuvumilia domo la mwanamke kama mange, sembuse mzungu????? Am so wandazz huyo mzungu anahali gan na hyo ndoa yake

kiukweli, yani hapo alipo wale watoto ndo wanafanya ndoa iwepo,ila wakikua kidogo,mzungu nadhani atacvhapa lapa aisee,mange ndoa imapumulia mashineni na hataki kuweka ukweli,
 
Huyo mwanamke ni meli linalokaribia kuzama

tatizo anajiona Mungu Mtu, how comes yeye anaongelea afya ya mtu utadhani yeye ndo Mungu,kwa kifupi huyo wanaemwona mgonjwa anweza survive years halafu yeye anaejiona mzima kafa kabla hata ya umri wake,Mungu ni wa ajabu,akikupa uzima mshukuru na uwaombee wale walio wagonjwa maana hatma ya maisha yetu haipo kwenye ugonjwa bali ipo kwenye mikono ya Mungu
 
kiukweli, yani hapo alipo wale watoto ndo wanafanya ndoa iwepo,ila wakikua kidogo,mzungu nadhani atacvhapa lapa aisee,mange ndoa imapumulia mashineni na hataki kuweka ukweli,

Naa aachike maana hakuna namnaa😁😁😁😁
 
Mange hata mi namshangaa unless kama analipwa na ccm.. halaf kwnn anamuatack Lowasa na personal ishu? Kama ni kampen aweke sera mezan amuache baba wa watu,eti mgonjwa mgonjwa kwani ugonjwa ni dhambi? au Lowasa kajiwekea huo ugonjwa mwenyewe..Hizo ni kudra za Mungu na yule baba ni kama au zaidi ya umri wa babako...c heshma kufanya hayo unayofanya halafu jua halizuiliwi na ungo labda Mungu alizuie so mange achana na lowasa..wewe weka sera za ccm mezan.
 
Ukilala ukiamka, ukila ukishiba, ukinya ukimaliza basi utaanza kuwasema UKAWA.

Back to the point, Lowassa wa leo si Lowassa wa miaka 8 iliyopita, you are judging the different person. As u know people change, every saint got a past and every sinner has a future, only God can judge us all coz anaona zaidi ya macho ya binadamu, he looks at the heart!!

Kama Mungu ameamua Lowassa awe rais wa Tz na atakuwa tu, kama wewe na ndgu zako CCM mngekuwa na ushahidi mngemshtaki since then sio mnatoa povu leo, no prove no right to say, watch your moves mwanamke.

Jinsi unafatilia ya UKAWA surely u must be our Biggest Fan, ila unafki unakusumbua. Halafu uwe na adabu, Lowassa ni kama Baba yako kumdhalilisha hivyo utalaaniwa zaidi ya hapo.

Mange u don't look good when u make others look bad,coz maneno yako toward Him they reflect urself,dats y ulishindwa na ubunge, jiulize why ulishindwa! You are not good enough for our country. Halafu ni njaa tu zinakusumbua ubunge ungekuwa wa kujitolea bila pesaaa ungetoka USA kuja kugombea!

Shame on u, mxieeeww..

Lowasa Ana Parkinson's na loss of memory ndio maana hakupata nomination .He is sick period
 
Back
Top Bottom