Mangi aingizwa cha jiji

aliuza nyumba yote kwa Milioni 800. Kisha wanae wawili binti na mvulana akiwa anafanya kazi TCC wakalubaliana na baba kuwa baada ya kupokea zile fedha wazipeleke kwa mtaalamu akazirudufu mara 2 yaani iwe Bilioni 1.6.
Tamaa mbaya sana
 

Mali za uganga ziko ndani ya sanduku
 
Mbona wengi tu wanatapeliwa mkuu ? Kutapeliwa hakuchagui kabila .
Jamaa anafikiri utapeli unachagua Rangi, kabila, au dini. Yoyote tu anaweza kutapeliwa, ilimradi umeingia kwenye 18 za watu.
 
"Nikafurahi kusikia hivyo kwasababu nauchukia sana umasikini"
 
Mchaga mjinga Sana.yaani kukubali kumpa Hela tapeli Kwa kupewa tranker?wachaga wote wajinga sana.
 
Imekuwa confirmed hiyo ni story ya kutengeneza
 
Nimethibitisha Kwa sampling ya huyo mchaga aliyetapeliwa .Au hujui Kam a samaki mmoja akioza wote huoza?
Kwa hiyo nchi nzima hakuna watu wa makabila mengine wanaotapeliwa?
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Kwa hiyo nchi nzima hakuna watu wa makabila mengine wanaotapeliwa?
Wapo lakini wachaga wamezidi.maana nimeshuhudia Kwa macho yangu wengi wakitapeliwa watu wenye lafudhi za kichaga hapa mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ