Mangi aingizwa cha jiji

Mangi aingizwa cha jiji

Hapa Mbezi Makonde kuna Mzee akiitwa Mlay alikuwa anafanya kazi Wazo Hill Cement na alistaafu miaka ya mwanzoni mwa 2000. Alikuwa amejenga nyumba ya gorofa kwenye plot ya nusu ekari. Kwenye miaka ya 2010 aliuza nyumba yote kwa Milioni 800. Kisha wanae wawili binti na mvulana akiwa anafanya kazi TCC wakalubaliana na baba kuwa baada ya kupokea zile fedha wazipeleke kwa mtaalamu akazirudufu mara 2 yaani iwe Bilioni 1.6.

Alifanya kama huyo mchagga zikawekwa kwenye TRANKA. Walipofika nyumbani wakakuta ni makaratasi. Hapa ninapoongea Mzee na mkewe wamerudi Tegeta kwenye kinyumba chao kingine lakini Mzee Mlay memory inakata. Kuna siku alikutwa Kimara Mbezi akiwa anatembea kwa mguu kwenda Moshi
aliuza nyumba yote kwa Milioni 800. Kisha wanae wawili binti na mvulana akiwa anafanya kazi TCC wakalubaliana na baba kuwa baada ya kupokea zile fedha wazipeleke kwa mtaalamu akazirudufu mara 2 yaani iwe Bilioni 1.6.
Tamaa mbaya sana
 
Kama ulikua hujui kuwa duniani kuna MCHAGA amewahi kutapeliwa MILIONI SITA NA KUPEWA SANDUKU wacha nikufahamishe;-
Katika hali isio kuwa ya kawaida kuwahi kutokea duniani,
Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la POLINARY MWANGA,
Ambae ni mkazi wa KIBOSHO mkoani KILIMANJARO,
Ametapeliwa kiasi cha milioni sita na laki saba,
Na mtu aliyejitambulisha kuwa ni mganga wa kienyeji,
Baada ya kwenda kwa mganga huyo akitaka utajiri,
Ili kuondokana na umaskini katika maisha yake,
Akiongea na chombo kimoja cha habari POLINARY alisema kuwa;-

"Nilipata milioni sita na laki saba nikaamua kwenda nazo kwa mganga ili nipate utajili,
Nilipofika mganga aliniambia hilo ni jambo rahisi sana,
Kwani hiyo ndio shughuli yake inayo muweka mjini,
Na watu wengi wamepata utajili kupitia yeye baada ya kutoa kiasi kidogo cha pesa walicho nacho,
Alinitajia majina ya watu wengi matajili akisema kuwa,
Watu hao wote wamekua matajili kupitia yeye,
Aliposema hivyo nilishawishika na kumuamini,
Akaniuliza unataka uwe tajili kama nani hapa Tanzania,
Nikamwambia nataka kuwa tajili kama MENGI,
Mganga akaniambia hilo limeisha lakini,
Natakiwa kutoa pesa yote niliokuwa nayo,
Na akasema kadri ninavyotoa pesa nyingi ndivyo nitakavyo kuwa tajili zaidi kuliko mtu nilie mtaja,
Basi nikamwambia mimi nina milioni sita na laki saba,
Mganga akasema tena hiyo ni nyingi sana,
Hiyo pesa nikitoa nitakua tajili kuliko mengi na nitamfikia BAKHRESA,
Nikafurahi kusikia hivyo kwasababu nauchukia sana umasikini,
Na hiyo pesa niliokuwa nayo niliuza sehemu ya shamba langu,
Kwahiyo nilitaka izalishe zaidi na zaidi kwasababu ndio tegemeo langu,
Akaniambia toa hizo pesa zote weka kwenye hiki chungu nikaweka,
Baada ya pale mganga akaniambia subili nakuja akaingia chumbani kwake,
Baada ya muda kidogo mganga akatoka na sanduku la bati,
Ambalo mala nyingi wanafunzi hulitumia shuleni,
Akaniambia hili sanduku unaloliona humu ndani limejaa pesa tupu,
Lakini natakiwa niende kulifungulia nyumbani,
Na nikiwa njiani sitakiwi niongee na mtu yeyote,
Na nikifika nyumbani kabla sijaongea na mtu yeyote pale nyumbani na kabla sijalifungua,
Nimpigie simu kuna kitu atanielekeza kufanya,
Baada ya kufanya hicho kitu ndio nifungue hilo sanduku,
Nilivyofika nyumbani nilimpigia simu yule mganga,
Akaniambia chukua udi washa halafu simama nao hadi uishe,
Nikafanya kama alivyo nielekeza nikasimama nao hadi ukaisha,
Ulipo isha nikampigia simu tena lakini simu haikupatikana,
Nikakumbuka alisema udi ukiisha nifungue sanduku langu la pesa,
Nikiwa na furaha zote za utajili nikaamua kulifungua,
Nilipolifungua sikuamini nilicho kikuta ndani,
Kwani nilikuta magazeti kibao pamoja na biskuti,
Baada ya kuona hivyo nikampigia tena simu hakupatikana,
Nikaamua kwenda nyumbani kwake lakini sikumkuta na nyumba ilikua imefungwa,
Ndipo nilipogundua kuwa nimetapeliwa,
Na Slsasa sielewi hili sanduku na haya magazeti pamoja na biskuti nifanyie nini".....amesema POLINARY

Huyu jamaa ndio mchaga wa kwanza duniani,
Kutapeliwa pesa na mganga wa kienyeji🤣🤣🤣🤣🤣🤣.

Makala hii imeletwa kwenu na Dhulkad Madara kutoka Morogoro

Zaidi soma

View attachment 3169911

Mali za uganga ziko ndani ya sanduku
 
"Nikafurahi kusikia hivyo kwasababu nauchukia sana umasikini"
 
Mchaga mjinga Sana.yaani kukubali kumpa Hela tapeli Kwa kupewa tranker?wachaga wote wajinga sana.
 
Nimethibitisha Kwa sampling ya huyo mchaga aliyetapeliwa .Au hujui Kam a samaki mmoja akioza wote huoza?
Kwa hiyo nchi nzima hakuna watu wa makabila mengine wanaotapeliwa?
 
Hakika msukuma anamrudia na panga labda ahame kabisa.

Kuna jamaa alitaka kunitapeli aniuzie dhahabu fake sijui wale watu huwa wanajua vipi kuwa utakuwa na hela..
Maelezo yalikuwa akanionyesha ile dhahabu pasipo kujua nami ni muhuni kuzidi yeye nikamwambia hapa sina hela kabisa nina 30k tu ila nyumbani nina milioni4 na sio mbali naomba twende maana naishi geto pekee yangu.

Akaniambia una uhakika unaishi mwenyewe nikamkubalia ..... muda ule nilikuwa naenda bank nina m23 kwenye begi na geto nilikuwa na ishi na msela angu mtata baraa yaani kwenye madhali basi umefika kabisa.

Tukaongozana na jamaa tapeli hadi geto nikazama ndani yeye akawa anamashaka kuingia nikamwambiaa njoo

muda huo jamaa kalala ilikuwa saa2 asubuhi. jamaa akawa na wasiwasi kuingia.Badae akaingia nikazama ndani nikamwambia mshikaji njoo tupige mtu hapa... mshikaji alitoka na boxer tunikiwa na uhakika wa pesa zangu zipo salama. yule tapeli tulimpiga hadi akaanza kupiga yowe mwenyewe akiomba msaada. watu wakaja nikaanza kueleza

Ilivyokuwa badala kupewa msaada kipigo kikawa zaidi tukio likawa kubwa hadi police wakaja kapigika mnoo na kesi tumeshaiuza kwa wengine walio ta-peliwa kwa style ile watu wa namna ile wanapiga acha kabisa.
😀😀
 
Kwa hiyo nchi nzima hakuna watu wa makabila mengine wanaotapeliwa?
Wapo lakini wachaga wamezidi.maana nimeshuhudia Kwa macho yangu wengi wakitapeliwa watu wenye lafudhi za kichaga hapa mjini.
 
Back
Top Bottom