SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
Ingependeza sana kama ungeandika “History of Zanzibar before 1800” kama itawezekana lakini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Call...Naweza pata link na mimi napate kumjua zaid marealle
Sheriff...Ingependeza sana kama ungeandika “History of Zanzibar before 1800” kama itawezekana lakini.
Njemba,huyu mzee Muhamedi Saidi ni mtu makini ambaye tutakuja kujuta kitu kimoja kwamba hatujathamini kazi yake ya kutupatia historia..... Sema tu udini huhusishwa sana kwenye mada zake.
Father sina nia na wala siwezi kukujibu mtu mzima kama wewe na ninayesoma na kujifunza mambo mengi kutoka kwako..... nasoma sana maandishi yako na nakuheshimu na wewe hujui tu kwamba unasaidia sana sisi tusiojua mambo tujue kupitia uandishi wako wewe....kuna mengi unapaswa kutufundisha zaidi ya hilo..... UKABILA NA UDINI NI MAMBO NINAYOYACHUKIA SANA.Njemba,
Utasemaje ikiwa nitakuambia kuwa walioifuta na kuivuruga historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika walifanya hivyo kwa kusukumwa na udini wao?
Hawakutaka kuona jinsi Uislam ndani ya ukoloni ulivyotumika kuleta umoja wa kitaifa kwani hili lingeunyanyua Uislam juu sana.
Hii ndiyo sababu leo nakufunzeni upya historia ya TANU.
Njemba,Father sina nia na wala siwezi kukujibu mtu mzima kama wewe na ninayesoma na kujifunza mambo mengi kutoka kwako..... nasoma sana maandishi yako na nakuheshimu na wewe hujui tu kwamba unasaidia sana sisi tusiojua mambo tujue kupitia uandishi wako wewe....kuna mengi unapaswa kutufundisha zaidi ya hilo..... UKABILA NA UDINI NI MAMBO NINAYOYACHUKIA SANA.
Mkuu Waterloo, jf ni zaidi ya darasa, zaidi ya shule, zaidi ya chuo, ni maktaba hai, na Maalim Mohammed Sais ni zaidi ya mwalimu, zaidi ya lecture, zaidi ya Prof, na hapa ndipo tunapoonyeshwa kuna ma prof wa Ph.D and they deliver nothing!, na kuna watu, hawana hata Masters, na wana deliver wonders.
P
Sasa Mkuu Pascall naona kama nawe pia unaungana na Mzee Said kutuchanganyia mambo, hizo mambo unayoyataja kama 'hearsay' kwa nini msiachane nayo tu?Mkuu Maalim Mohammed Said, kwanza asante kwa mchango huu, wewe humu umekuwa ni iconic kwa baadhi yetu, mimi nikiwemo, kila bandiko unalobandika, najikuta navutwa kama sumaku na lazima nilisome, hivyo nakuomba uendelee kutupatia hayo mengi yoyote unayoweza kutupa, ni siishia humu tuu kwenye mabandiko yako ya jf, mara moja moja hukutembelea kule kwako www.mohammedsaid.com, sijui siku hizi kumeingiliwa na kirusi gani.
Moja ya sifa ya viumbe hao wote, sio static, ni dynamic, and hence they change with time, hata wewe. as times goes by, unajikuta una change with time, kwa siku hizi kutuletea mabandiko ya ukweli mtupu, na sio mabandiko yenye urongo kama urongo niliouibua hapa.
Kwa Simulizi za Mwana JF, Maalim Mohammed Said, Sio Mtu wa Kubezwa, Mengine ni Ukweli Mchungu!, Ila Pia Sio Mtu wa Kupuuzwa!
Wanabodi, mimi ni mshabiki na mfuasi wa simulizi za mwana Jf maarufu, mwenye powers fulani za ushawishi, Mkuu Maalim Mohamad said, nyingi ya simulizi zake zina some religious controversies zinazoibua very heated debates humu jukwaani, kwa baadhi ya watu kumsupport asemacho ni kweli, na wengine...www.jamiiforums.com
Hivyo kwenye historia ya ukweli, tuko pamoja sana, ila kwenye maurongo, kama ukweli tunaujua, hatutanyamaza.
Hilo andiko la Mangi Mkuu, Chief Thomas Marealle, sijabahatika kulisoma, ila kuna taarifa ambazo hazina uthibitisho kuwa Mangi Mkuu aliwaambia Wakoloni wetu Waingereza kuwa Tanganyika bado haijawa tayari kujitawala, ila North Province ndio wako tayari, hivyo kuwaomba watoe uhuru kwa mafungu, North Province ndio ipewe uhuru kwanza. Taarifa hii ilipomfikia Nyerere, ali curse kuwa never on earth mtu wa huko anaweza kuwa rais wa JMT!, japo hizi ni hearsay tuu, lakini political trends, na political dynamics za siasa zetu, zina onyesha ni kweli kuna makabila fulani fulani hayatakiwa kutoa rais wa JMT, na ni kweli sasa kuna chuki fulani ya kichini chini dhidi ya makabila fulani fulani!, huwezi amini kuna mtu fulani who was high ranking member wa utawala uliopita yuko mahabusu huu ni mwaka wa 4!.
Ni kweli kuna makabila yasiyotakiwa kutoa rais wa nchi?
Nimetembea duniani kwenye nchi za kidemokrasia lakini sijawahi kusikia eti makabila flani hayatakiwi kutoa rais wa nchi.Only in Tanzania!Is it true?And if so,why?Ni kivipi tutazuia?je hilo halituathiri kama Taifa?www.jamiiforums.com
Na sasa pia tuna makabila ambayo yanafaa sana kutoa rais
P.Kiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa Rais Magufuli!. Je, kuna uhusiano kati ya kabila la mtu, na uchapakazi wake?. Je, 2020 kuna haja ya...
Wanabodi, Naangalia huu mkutano wa Rais Magufuli na wafanyabiashara, kiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa rais Magufuli. Namtafakari jinsi huyu jamaa anavyochapa kazi hadi sijui analala saa ngapi maana aliwahi kusema ana mafaili hadi room. Angalizo: Kama wewe ni mmoja wa wale wenye allegy...www.jamiiforums.com
Mkuu May Day, kwa vile kuna kila dalili ya tuhuma hizo kuwa ni kweli, then kunyamaza hakusaidii kutaendelea kufanya makabila fulani kuwa sidelined kwenye kugombea urais.Sasa Mkuu Pascall naona kama nawe pia unaungana na Mzee Said kutuchanganyia mambo, hizo mambo unayoyataja kama 'hearsay' kwa nini msiachane nayo tu?
Nakuelewa ila mambo kama haya ndio yaliyopelekea Wahenga kusema "yaliyopita si ndwele..."Mkuu May Day, kwa vile kuna kila dalili ya tuhuma hizo kuwa ni kweli, then kunyamaza hakusaidii kutaendelea kufanya makabila fulani kuwa sidelined kwenye kugombea urais.
P
Kuona sidelining, na marginalization ya makabila fulani fulani ni mpaka uvae miwani ya ukabila kuyaona hayo.Nakuelewa ila mambo kama haya ndio yaliyopelekea Wahenga kusema "yaliyopita si ndwele..."
Na vipi kuhusu nafasi ya Uwaziri Mkuu, maana kuna Mzee Msuya, au hii iliwalenga Wachaga tu?
Kiufupi mimi siuoni huo muelekeo wa kikabila kabisa, nafasi yenyewe ya uraisi ina upana gani wa accomodate kila kabila kwa nchi hii? ndio kwanza tupo na raisi wa tano.
Hivyo kwenye historia ya ukweli, tuko pamoja sana, ila kwenye maurongo, kama ukweli tunaujua, hatutanyamaza.
Hilo andiko la Mangi Mkuu, Chief Thomas Marealle, sijabahatika kulisoma, ila kuna taarifa ambazo hazina uthibitisho kuwa Mangi Mkuu aliwaambia Wakoloni wetu Waingereza kuwa Tanganyika bado haijawa tayari kujitawala, ila North Province ndio wako tayari, hivyo kuwaomba watoe uhuru kwa mafungu, North Province ndio ipewe uhuru kwanza. Taarifa hii ilipomfikia Nyerere, ali curse kuwa never on earth mtu wa huko anaweza kuwa rais wa JMT!, japo hizi ni hearsay tuu, lakini political trends, na political dynamics za siasa zetu, zina onyesha ni kweli kuna makabila fulani fulani hayatakiwa kutoa rais wa JMT, na ni kweli sasa kuna chuki fulani ya kichini chini dhidi ya makabila fulani fulani!, huwezi amini kuna mtu fulani who was high ranking member wa utawala uliopita yuko mahabusu huu ni mwaka wa 4!.
Mkuu Maalim Mohammed Said, hatuna haja ya kuliharibu bandiko hili zuri la Mangi Mkuu, Chief Thomas Marealle, kwa kukumbushia yale maurongo yako ya siku za nyuma kwa sababu threads za maurongo hayo zipo.
Be at peace Maalim wetu, maurongo weka kando, sasa tuenende kwenye ukweli mtupu, tell only the truth and nothing else, but the truth and it is only the truth that will set you free from all the ill motives behind.
P.
Mkuu umetisha sana.Mkuu Maalim Mohammed Said, hatuna haja ya kuliharibu bandiko hili zuri la Mangi Mkuu, Chief Thomas Marealle, kwa kukumbushia yale maurongo yako ya siku za nyuma kwa sababu threads za maurongo hayo zipo.
Be at peace Maalim wetu, maurongo weka kando, sasa tuenende kwenye ukweli mtupu, tell only the truth and nothing else, but the truth and it is only the truth that will set you free from all the ill motives behind.
P.
Dos Santos,Mkuu umetisha sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu umetisha sana.
Umejiongeza.
Umekwepa kiutu uzima.
Vinginevyo ungekula 'vitasa'
vya haja kutoka kwa Mzee Mohamed Said
Dos Santos,
Kumbe nawe umeliona hilo.
Kaibadili mada kabisa.
Do Santos,Anatamani sana kukukwamisha
Lakini masikini hana chochote
Katika historia ya nchi.
Tunasubiri kile kitabu
chao na wenzie walichoahidi
kuandika[emoji23]