Ni swala la NDUGU KUTOKA SEHEMU MBALIMBALI KUKAKAA PAMOJA MARA MOJA KWA MWAKA KWA AJILI YA KUIMARISHA UNDUGU NA KUBADILISHINA MAWAZO.Huo ushamba wa kwenda kwa bibi kwakuwa eti ni Christmas tulishaacha!
Au huwa unaenda kutambika?
Moshi tunaenda kiila panapobidi kuwajulia hali ndugu na kuwaona wazee na sio December eti kwaajili ya Christmas
Usiishi kwa Mazoea, ishi kwa Usahihi na Utakatifu.
Ni sawa na nafahamu hilo since n sinceNi swala la NDUGU KUTOKA SEHEMU MBALIMBALI KUKAKAA PAMOJA MARA MOJA KWA MWAKA KWA AJILI YA KUIMARISHA UNDUGU NA KUBADILISHINA MAWAZO.
BIG UP KWA WACHAGGA!
Ni sawa na nafahamu hilo since n since
Ila sikuhizi kuna social medias, simu zenye dakika za kutosha na pia watu wanakutana sana Moshi kukiwa na misiba.
Mtu yupo Arusha au Tanga halafu eti anafunga safari kwenda hapo Moshi kwasababu tu ni Christmas
Huwa naenda Kilwa Vunjo kuwajulia hali wazee na ndugu siku yoyote, wiki na mwezi wowote.
Penda veve bureeHuo ushamba wa kwenda kwa bibi kwakuwa eti ni Christmas tulishaacha!
Au huwa unaenda kutambika?
Moshi tunaenda kiila panapobidi kuwajulia hali ndugu na kuwaona wazee na sio December eti kwaajili ya Christmas
Usiishi kwa Mazoea, ishi kwa Usahihi na Utakatifu.
Muda wa likizo huu, sikukuu mbili kubwa za mwaka, kila watu na tamaduni zao, kama uchumi unaruhusu kwa nini usiende? usijilazimishe lakiniNi sawa na nafahamu hilo since n since