Shimboni Shanii.
Kama kawa kama dawa, mwenye wivu nampa kamba ya buree.
Haina kweree, hainaa nomaaa.
Leta maneno hapa chalii, semaa hii kirisimasi tuauliaa wapi we jamaaa.
Mimi nimejichanga vya kutoshaa, tarehe 23 kibosho mojaa hiyoo.
Safari hii naenda chinjaa ile mbuzi ya kuvaa bangili mkononi, kushukuru mababu kwa kumaliza huu mwaka na huyu chalii anesumbua nchi.
Niambiee Mangi Wangu wewe unaenda uliaa wapi hii sikukuu..
Aikaa Mangi...
Aikaa Ruwaaa!!!