Safi sana Murtaza Mangungu. Hakuna kujiuzulu. Sisi Wanasimba tuko pamoja nawe daima. ✋MANGUNGU AGOMA KUNG'ATUKA SIMBA
"Bodi imefikia uamuzi huo (kusitisha mkataba na kocha) sio mimi. Simba inaongozwa kwa mujibu wa utaratibu........ Nijiuzulu kwa sababu gani, kwani timu inafanya vibaya ? Tumepoteza mechi moj tu (dhidi ya Yanga) kwa nini hawakusema nijiuzulu wakati tunashinda mfululizo ? " Murtza Mangungu, Mwenyekiti wa Simba
TABULELE [emoji113]
Hamsa [emoji113]
Tabu itaendelea Kwa makolo
Yaani analetwa Manzoki kuja kuchagiza habari mkutano, badala ya aletwe kuja kucheza!!Safi sana Murtaza Mangungu. Hakuna kujiuzulu. Sisi Wanasimba tuko pamoja nawe daima. [emoji113]
Na kama wanakulazimisha ujiuzulu, basi wakulipe zile gharama zako ulizotumia kumleta Caesar Manzoki kutoka China, kuwasalimia wapiga kura kwenye ule uchaguzi wa mwaka jana.
Labda ni kachero waoCha ajabu upande wa pili wanatetea mangungu abaki sijui wanafaidika na nn
Simba hatuna neno DaimaSafi sana Murtaza Mangungu. Hakuna kujiuzulu. Sisi Wanasimba tuko pamoja nawe daima. ✋
Na kama wanakulazimisha ujiuzulu, basi wakulipe zile gharama zako ulizotumia kumleta Caesar Manzoki kutoka China, kuwasalimia wapiga kura kwenye ule uchaguzi wa mwaka jana.
Timu ikishinda ....pongezi Kwa uongoziKama ni hivyo Huyo kocha kafukuzwa Kwa sababu gani? Kwani wakati wanashinda kocha Hakuwa huyu waliyemfukuza baada ya kufungwa Mechi moja?
[emoji23][emoji23]20billionSafi sana Murtaza Mangungu. Hakuna kujiuzulu. Sisi Wanasimba tuko pamoja nawe daima. [emoji113]
Na kama wanakulazimisha ujiuzulu, basi wakulipe zile gharama zako ulizotumia kumleta Caesar Manzoki kutoka China, kuwasalimia wapiga kura kwenye ule uchaguzi wa mwaka jana.
Kubwa zima kutumia makalio kufikiri haipendezi,au utakuwa kubwa jinga weweSafi sana Murtaza Mangungu. Hakuna kujiuzulu. Sisi Wanasimba tuko pamoja nawe daima. [emoji113]
Na kama wanakulazimisha ujiuzulu, basi wakulipe zile gharama zako ulizotumia kumleta Caesar Manzoki kutoka China, kuwasalimia wapiga kura kwenye ule uchaguzi wa mwaka jana.
Kitendea kazi chao na kazi waliyomtumia ameifanya kwa ufanisi mkubwa.Cha ajabu upande wa pili wanatetea mangungu abaki sijui wanafaidika na nn
Tena ni mtu wa karibu sana na JK.Litakuwa fundisho Simba kuchagua wanasiasa, toka lini wanaccm wakawa na utaratibu wa kujiuzulu.